Hivi ni vigumu kufumbua fumbo eh?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Nimesoma habari,nimeona picha na hata video ya
yale aliyo fanyiwa wema na diamond pale mlimani city.

Pamoja na mabaya yake yote,ila siku hiyo alikuwa mpole sana.
Mmmmmh,this brings me to my topic.

Mara nyingi wadada wana furahia sana pale wanapo ona X wa
boyfriend wake anakuwa treated vibaya.
Eti wanadhani hiyo ndio njia ya kuoneshwa wana jaliwa na
kupendwa sana.

Nahisi huwa wanasema;
"Dah,ana nipenda sana,ona hata hamjali X wake kwa ajili yangu".

Hivi mtu kama huyu anakuwa ana tafakari akichokwa yeye itakuwaje?
Me i thought this is an alarm kwa kwako ulie "online" kwa sasa
ni jinsi gani utakuwa treated baadae?

Jokate was celebrating,i'm waiting for her time aisee.
Ladies ladies ladies...................
 
pia tafsiri nyingine kwa alichofanya diamond ni kuwa bado anamfeel wema.

Vinginevyo asingejali na kupokea tu.

Ila upande mwingine labda alihofia nguvu za asili, labda ulikuwa mtago ule.
 
Wote washamba, Jokate na huyo diamond was so cheap.

Sioni yeye kufurahia Wema alivyodhalilishwa coz soon will be her turn. Diamond angepokea ile pesa asingepukiwa na kitu, he was suppose to treat her as a fan sio kuanzisha drama that show was suppose to be classic but unfortunately ikageuka mambo ya rusha roho.

Wema needs to change and I repeat abadilisha mwenendo wa kuruka na wanaume wasioeleweka, mascandal hayatamwishia na atakuwa kila siku wakukosewa heshima. She is so beautiful but I don't know what is lacking!
 
Back
Top Bottom