Kwa buku tu unafika popote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa buku tu unafika popote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIQO, Apr 2, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]
  [​IMG]


  Ukiwa na buku tu unafika popote na shemeji ukiwa umepanda na mpambe mnaenda kumfuata dada mtu mitaa ya kati.
  Kwa hali hii mikebe sasa kupanda watu tutakuwa tukipanda kipindi cha masika kiangazi hivi huna haja ya kupanda mkebe unachana mitaa na boda boda unawahi appointment maeneo ya kati hapo iwe guest au bar kitu mwake mwake haina foleni. Wadau wa MMU usafiri huu tumia kwenye barabara za vumbi usitumie kwenye lami tunaweza kukusahau.
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...ila asiwepo MPEMBA kati yenu...!LOL alafu uipeleke kulee kwenye jukwaa la picha!...
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  yaani ni zile anga za vumbi tu...............kulamba vumbi tu............mie simo hapo.......nataka kusaga lami tu.........
   
 4. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hata Wodi ya Muhimbili!
   
Loading...