Mwanamke anategemea kupata 'hiki' kwenye uhusiano! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke anategemea kupata 'hiki' kwenye uhusiano!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Purple, Apr 2, 2012.

 1. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ili uhusiano wowote uwe endelevu kila mmoja anapaswa kuelewa na kutimiza mahitaji ya mwenzake. Mahitaji haya hutofautiana kati ya m/mke na m/mme but a woman's primary need is emotional.
  Mwanamke aingiapo kwnye uhusiano hutegemea kupata;
  1) Rafiki wa kweli atakayeweza kumshirikisha kwny mambo yake,kutaniana nae,kucheka nae na atakayempenda na kumuheshimu..
  2) Mwenzi atakayevutiwa na jinsi alivyo kwa kila kitu
  3) Mwenza wa kusota nae maisha yake yote yaan wacheke na kushangilia pamoja wakati wa raha na kusaidiana wakati wa shida.
  4) Hutegemea mwenza wake aweze kusimama vizuri kwenye nafasi yake na mwenye msimamo katika majukumu yake
  5) Mwanamke hutegemea mwenza wake atakua tayari kumckiliza kwa makini pindi akuelezapo jambo
  NOTE:Mwanamke akikueleza tatizo lake sio lazma anataka ulitatue!sometimes women seek 4 sympathy &undestanding..
  Kama ni m/ume hebu jiulize hua unampatia mwenza wako alichokitegemea kabla ya kua na wewe?
  Kama ni m/mke kama hujapata ulichokitegemea umechukua hatua gani?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mama isaac, tena hapo kwenye note ndio panawashinda hawa watu.
   
 3. M

  Mchomamoto Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmmh kazi tunayo sie wakina KAUKENEGE mbona shughuli ipooo, kama ISIDINGO kudadadeki!!!!!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  na mkishapata Mwanaume mwenye sifa hizo mbona hamtulii?
  kuna wanawake ana wanaume hata watano na wote ni very understanding...
  but akija wa sita pia 'anakula kichwa'......hamtosheki siku hizi...
  hata tuwe vipi.......
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  On point, Boss.
   
 6. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  jamani, yamekuwa hayo tena!
   
 7. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  natamani wangeelewa na kubadilika jaman
   
 8. Zizu

  Zizu Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  #5 mwanaume asiitumie kwa kila mwanamke ni yule tu wa ukweli otherwise ataumia
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  lipi gumu hapo?
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  mmh jaman hakuna binadamu asiyetosheka ukiona hivyo ujue kuna tatizo somewhere!
   
 11. Zizu

  Zizu Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukipenda soul utamfurahia mwanamke mpaka basi maana kila atachofanya utakiona tofauti na mwingine hawezi ila ukipenda umbile mbona wako wengi
   
 12. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  lol! Kwa nini?
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  kumbe hua mnakua na wa ukweli na wengine wa uongo?
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ni kujifunza kuishi uhalisia ndo itakusaidia kwenye mahusiano
  Wakati mwingine wanawake hawatambui uhalisia
  Hasa aina ya mwenza aliyenaye
  Umechagua waru waru, afu unataka akusikilize, itawezekana kweli.

  Mi huwa nahisi baadhi ya wanawake hawajui walitakalo.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Labda anayefanya biashara ndo hufanya hivi.
  Kuna wanawake wameolewa lakini katika damu zao kuna ufanya bishara wa hii kitu

  Jasiri haachi asili.
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  napita hapa,.....
   
 17. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa zizu
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  kongosho na wengine niwaeleweshe hiyo
  methali inakosewa mno kutamkwa na kuandikwa
  usahihi ni 'mjaa asili haachi asili'
  sio mjasiri.....
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  unajua very well mlivyo wanawake wa siku hizi...
  hamtosheki......hata mpate malaika....
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  very true! Mistake kubwa hua inatokea kwenye kuchagua nani ili akupe nini but kuna wengine mwanzoni huenda vizuri kabisa thena baadae kha! Unajuta kumfahamu..
   
Loading...