Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naombeni mbinu za kumtania mtu wangu,yaani siwezi utani kabisa,niko serious.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FADHILIEJ, Apr 2, 2012.

 1. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wadau nimegundua suala la utani ni muhimu sana kwenye masuala ya mahusiano,lakini mm ninatatizo la kuwa serious hata ninapotaka kutania nakosa pa kuanzia ,nifanyaje au nitumie mbinu ganiiiii,Msaada tafadhali.
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkubwa unakiri huwezi mzaha kutokana na u'seriously ulionao sasa ya nini uvae mask ?
  Stay with kind you are !
   
 3. Shabhan

  Shabhan JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hio inakuja nuturale. Haina njia ya kuchakachua.
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kupenda utani ni suala la personality au disposition ya mtu... unaweza kuforce ndiyo ukaharibu kabisa..
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,234
  Trophy Points: 280
  tupatie sifa za mtaniwa kusudiwa halafu tutakushauri kwa nasaha kabisa..................
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh you must be boring person to be with....
   
 7. S

  SI unit JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Huo usiriaz wako ndo utani wenyewe. Kwani hakufurahii?
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ulishawah kufanya kazi ya jeshi au?
   
 9. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Heeh kumbe mtu serious hua anajijua?mi nilifikiri hua hawajielewi
   
 10. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  nenda kadese kwenye jukwaa la jokes!iba jokes za excellent,au mohamedi shossi au wengineo!mhadithie mkeo,akicheka basi!kila mara unaiba kamoja!
   
 11. G

  GENDAEKA Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie ana kichwa kama nyuma ya tv,hapo utapata pakuanzia
   
 12. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa jinsi ulivyo sidhani hata kama ukimtania ataona utani maana hajakuzoea hivyo!baki ulivyo. Au nikuulize huo usiriasi wako niwa kujifanyisha ama manjonjo ya mapenzi lol
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mshikaji anamind kuona totoz wake akienda magengeni wanamtania sana muache ajifunze bana..
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Na kweli yupo serious mana hajajibu chochote lol!
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Labda unafanya kazi kwenye kiwanda cha polonium!!!

  Nawia usoni konyagi, sura ikilegea atacheka hadi basi.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Utundu hausomewi, unakuja nachoro, bora abaki kama alivyo.

   
 17. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  .....mwambie....
  .."mpenzi wangu sijawah kukuskia uki.. jamb...aa."...
  Jus say that
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha! Kweli aisee.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha, hadi sredi yake kailia buyu!!

  Huyu kiboko kwa kweli.

   
 20. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Kongosho..ni kweli kabisaa..nisipokunywa pombe najifanyaga serious lakini najikaushaga tu hua natafuta chocho nacheka peke angu af nikirudi nafanya aksheni hiyoo nomaa af bila kujua mi naona normal tu..na nilisha wahi kukaa na mawaziri kadhaa lakini kila ninacho ongea nastukia wanachekaaa..eti wananiita nachekesha..wakati mwenyewe napenda kuchekeshwa..yani hata sijielewagi..naeza nikaenda bar ndo usiseme kila mtu dogoo dogooo njoo huku!! huko fb ndo usiseme..stumi request!! ha ha..ucheshi na being playful its natural..nilifukuzwa shule feza boys dahh ..kwl nimekua skuiz!!
   
Loading...