Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Neng'uli, Mar 25, 2012.

 1. N

  Neng'uli Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maisha ya mapenzi si mchezo; alikuwa my honey longtime, nikaenda kupiga kitab majuu. Juzi nimerudi jana kaniomba nimpeleke dinner, tumepata dinner kama kawa majira ya saa nne nkimrudisha kwake, akashuka akafungua geti nikaingiza mandolina yangu na kupaki, karibu ndani; akanizungusha vyumba vyote mpaka store na mwisho akaninipeleka master, nikaingia humo na neno karibu lilimtoka. Nikapewa vifaa vyote vya kujiweka sawa kiusafi pamoja na kukatwa kucha. Kausingizi kakanipitia kidogo niliposhituka alikuwa adjacent to me with light night dress very transparent and lookable.
  Bila shaka unajua mzee mzima alivyoshituka na kuanza machachari: left hand on site right hand on gear. Side by side; left went further top to bottom near the real site nikasikia niache huko!!!!!!!
  Ebwana eeeeehh ndio ilikuwa mwanzo wa varangati, nikaomba ruhusa akataa kabisa. Nikajua staki nataka: nikaongeza ufundi kidogo laaaaa nikasikia ukiendelea nitakupasua na chupa.
  Nikaomba kufunguliwa mlango nitambae akakaa kimya. Sikuona ufunguo mpaka asubuhi.
  Nilipofunguliwa mlango nikakanyaga mafuta kwa hasira na kurudi geto.

  Masaa mawili baadaye nikatumia ujumbe huu
  "I fight hard 2 recover, n in due course so 2 do, i find myself do thngs whch hurt others with no intention 2 hurt anybody. Ths text comes as an apology 2 u, its hard 2 xplain, bt May ur hrt allow 4giveness 4 wht has happened.......

  Wadau toeni ushauri nifanyeje, maumivu ya mzee mzima mpaka sasa yanaendelea.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure,acha uzinzi.ila tunashukuru tumejua kuwa ulienda kusoma majuu na una mandolini na vilevile huyo kicheche wako nae ana nyumba yenye hadi store.over
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  achana nae huyo...watu wanataka utamu yeye ana bania....watoaji wengi
   
 4. gwino

  gwino JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  excellent
   
 5. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha ukiona manyonya...
  Kuna mtu ana mlindia alikuleta kukuzuga, analiwa na mchizi
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bado nina imani kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa ila sijui kwa hiki ilikuwaje!!!!
   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hapo daah, ila shukuru maana hujui kakuepusha na nini maana nyie kaka zetu nanyi mna papara
   
 8. O

  Obinna Senior Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baasi!
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ungembaka tu mkuu..
  Hapo hamna kesi, am a gud loya! Next time ikikutokea mbake then nitwangie nitakusaidia kisheria!
   
 10. N

  Neng'uli Senior Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa niwe padre au? Maana nimekuwa nafikiri yeye ndo my final one sasa nianze upya?
   
 11. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ask her to explain and MAKE IT UP to you!
   
 12. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kakukuta jentomani tu. kafanya yote hayo makusudi kabisa ndio wale ma teaser
  anakujengea tukio kichwani alafu mwishoni anakufanya ukauzu. angekua hataki haikua na haja ya kuku mislead.
   
 13. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "I fight hard 2 recover, n in due course so 2 do, i find myself do thngs whch hurt others with no intention 2 hurt anybody. Ths text comes as an apology 2 u, its hard 2 xplain, bt May ur hrt allow 4giveness 4 wht has happened.......
  Hapo kwenye red, kumbe basi huyo mdada ana CV ya kuumiza wengi, na ni wale aliolala nao kwa house yake. Kati yao hao lazima kuna mmoja au zaidi kashaona ndani.
   
 14. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Just investigate wot's beyond her reaction on u!Take enough tym 2 identify ze problem n correct t b4 thnkn fast 2 leave her, remember sex MINDSET based luv z harmful!TALK POLITELY WC HER
   
 15. m

  mams JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mpongeze sana kwa kuwa anapenda uendelee kuishi.
   
 16. N

  Neng'uli Senior Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuh hapa umenifumbua macho! Kumbe hii JF ina great thinkers .
  Ebwana kama ndo hivyo basi. Thank you very much acha uvivu kwa analysis yako nzuri na inafumbua macho. Daaaa
   
 17. N

  Neng'uli Senior Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilichoogopa alisema nitakupasua nachupa na ukizingatia yeye ni bonge fulani na mimi mwili umekomaa na baridi huko majuu na unajua afya haijarudi sawasawa. Na kazi ndop kwanza naanza kusaka hapa mjini ingekuwaje kaka.
  I did a after event analysis nikaona nigumie mchanjo niukose hadhi yangu ibaki na maisha yaendelee kesho yake
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yani wewe ume enda kusoma majuu na bado huna elimu ya kula msichana kama huyo.
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ntaomba kumshikia miguu
  dume zima analambishwa sega, afu ananyimwa asali?

  Kweli wanamme wanakwisha siku hizi

   
 20. N

  Neng'uli Senior Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fazaa kwa bahati mbaya nilienda kusomea mambo ys Financial Analysis na Management Packs sasa hapakuwa na optional study ya humanware. Nadhani technical error ipo hapo.
   
Loading...