Via sms,calls and email;Dada huyu ananipenda ila mie smjui.

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.
 
Ungependa kupata msaada gani kutoka JF kuhusu huyo Changu D*a?
 
dah.ebwana ndugu yangu nina evidence km mbili za namna hii kuna watu wangu wa karibu yamewatokea haya.mademu km hawa wanakua wabaya mpaka utawakimbia,kuna psychology moja inasema demu mwenye sauti nzuri ktk simu wengi wao ni hovyo naomba ukiprove hili unijulishe.we nenda ukaonane nae wala ucogope ila im sure hutaridhika nae.
 
Wanawake wanamna hio wanakuwa watamu sana, nenda kajilie utamu...kama unamuogopa wape wanaume wakamtengeneze :cool2:
 
Naomba kujua mlifahamianaje mkapeana namba za simu,email bila kuonana.
OTIS
 
duh, hata kula kwa sauti inatosha.

Ukienda kula live kumbuka kubeba na maziwa, sumu nyingi siku hizi.
 
hahahahahaa, kwani amekuambia anakupenda unaweza kuwa unahisi tu, tupo wengi tunaopenda kuflirt na watu tusiowajua
 
mkuu muulize anafanya kazi gani?, anaishi wapi?, una-umli gani?. mkuu bali ucoogope tafuta siku ukaonane naee bali tafuta lafiki yako mwende pamoja mukapime TBS KAMA SAWA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom