Unafahamu nini kuhusu hili?

dorcas1234

Senior Member
Mar 13, 2012
116
34
Kuna usemi unasema eti mwanamke akipenda anapenda kweli,mwana jf mwenzangu kuna ukweli wowote hapo?au wewe unaelewa nini juu ya hili? nijuzeni mwenzenu!
 
Ni kweli!mwanamke akipenda anapenda kweli na akiamua kukuvuruga anakuvuruga haswaa..
 
Kupenda ni function yenye parameters nyingi ikiwemo time (t). Kosa ambalo wengi tunafanya ni kushindwa kuielewa hii complex function, na kushindwa ku adjust parameters husika ili kumaintain the same level of love. so siyo kweli kua akipenda anapenda kweli.
 
tatizo siku hizi wengi wao wezi tu sasa hata anayependa kweli inakuwa ngumu kumjua.
 
me370 umenifurahisha kweli.kila mtu akipenda anapenda kweli na akidanganya anadanganya kweli
 
aah kabisa! Wakipenda mkwanja wako hawakuachi. Ukiishiwa tu hao mbio!
 
Hivi moja ongeza moja ni mbili au ni kumi na mbili? If the former holds true, the later will not and vice versa.
 
Back
Top Bottom