Mood swings...wadada mbona mnakuwa hivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mood swings...wadada mbona mnakuwa hivyo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Inkoskaz, Apr 1, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mara nataka ice cream saa saba usiku...mara nakuchukia kama nini...mara hamtaki tv ili mradi vurugu tu..
  je kuna namna gani ya kupunguza hormones hizo za hasira na kulialia pia
  kuwachukia waliowadungua ?
  mna visa nyie!
  hebu wenye experience ya vituko hivyo tujuzane..
  hata nyinyi akina Ashadii mtuambie mlikuwa mna vituko gani?wengine nasikia mwapenda harufu ya ferry na hamlali na wenzi wenu....
  karibuni
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  It must be time of the month...you can't avoid it.
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wavumilie tu mkuu, ndiyo ulezi wenyewe tu... afterall it's just a matter of time
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ule udongo wa zanzibar hauleti kidole tumbo?
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ni kweli mkuu ila mawenge ni mengi sana
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mvumilie tu si unataka kubeba mwanao baada ya miezi kadhaa?
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  That's is normal mbona?
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  inabidi uwe mpole mara mia
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  sasa wale wanaolea mimba zao wenyewe wanamdekea nani?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, pole.
  Usinikumbushe mtu alinuniwa wiki 2 kwa kusahau Ice cream siku moja.

  Its normal, very normal, usivibebe kifuani anavyofanya.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu kaiba password yako?
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ndo maana mkiwakataa wanatoa au wanatupa watoto au wanawachukia watoto wao na kuwatesa hapo baadae.

  Ni ngumu sana akiwa peke yake.

   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Raha ya kudeka uwe na wakumdekea
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hahaha..mtu anataka mapera usiku
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  husninyo hebu tupe maexperience ya hicho kipindi...
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kweli aisee..je huwa haimuathiri KIJACHO?
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  huwa ni msimu.

  Ukifika msimu wa mapera hakikisha hayaishi nyumbani
  utaambiwa kwenda sokoni usiku

  ukifika wa udogo, jenga kichuguu home
  vinginevyo utafuata Dodoma

  na mfano akianguka bahati mbaya usicheke, atalia hata mwezi na lawama zitakurudia wewe.

   
 18. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Lol! Kuitwa baba sio kazi rahic lazma usweat kidogo! Hata deki utapiga na nguo utafua kwa kipindi hicho..
   
 19. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kongosho naona wewe ulikuwa gwiji wa pregnancy anger
   
 20. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kweli deki na kufua muhimu maana kile kitumbo inakuwa vigumu kuzifanya..lakini naona huwa ni tofauti kwa mtu na mtu
   
Loading...