Hello wanajamii forum

BG baba

Member
Apr 2, 2012
42
4
Najsikia vyema kuingia ktk dunia hii. Naombeni mnishauri nitanufaikaje na huduma hii ktk maisha yangu?
 
Fedha hatuna lakini mashambulizi ukifanya ovyo, ushauri ukiwa na tatizo na kukonga moyo vinapatikana hapa. Karibu.
Ukitaka maudhi basi unaweza kwenda barza jirani apo 'sihasa'.
 
We unataka apigwe ban? Amuulize konnie.
 
Back
Top Bottom