Hii Alhamis kuna rafiki yangu kaoa, lakini matatizo mke wake ni kikojozi ana jikojolea kitandania sasa afanye nini.
Mimi nimemuambia avumilie tu, ule mkojo wake unaweza kuwa dawa kwenye mwili...
Eti jaman,nyie hawa mabinti mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu kwake ye kiko...
Ways to make her smile
1.Stay off your phone while with her
2.Send her a cute good night txt while she is asleep so she wakes up with a smile on her face.
3.Disrupt her concentration with a...
Ndugu zanguni mimi niko chuo kimojawapo mkoani morogoro. kuna binti niliyetokea kumzoea then nikafall in love nika mweleza akasemahaiwezekani coz she is in love ready nikatulia ila bado mazoea...
nimetokea kumpenda binti mmoja ivi yoko moro na mimi niko dar ila huyu binti ana ujauzito wa miezi 5 aliopewa na mchumpa wake wazaman kiukweli maisha yake ni magumu sana kwani ana mtegemea mama...
Habari wana jamvi, jamani leo mida ya jioni tunaenda kutoa mahari maeneo fulani kwa kabila la wamakonde, kijana anayetaka kuoa ni mhaya, sasa kituko ni kwamba, huyo mtolewa mahari hayupo, yupo...
Kwa wale tuliozaliwa katika mazingira ya kitanzania halisi, mtakumbuka wakati wa utotoni wazazi walikuwa wanam-refer
mtoto flani mwenzio kama 'mchumba' wako au wewe mwenyewe ulikuwa unatreat...
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu.
Sifa: 1.Mkristo.
2. Age range from 24-28 yrs old.
3. Husiwe ushatowa mimba .
3. Huwe na upendo wa...
Habari wadau, jpili imekwendaje?
Anyway jana jmos nilikuwa naskiza Radio One kipindi cha watoto.
Kama kawaida moderator naye ni mtoto. Ikawa kipindi cha methali, katoto kamoja kakapiga...
Watu wanafurahia kupendwa na wanapenda,lakini wapo wanaopendwa na vichwa vinakuwa vikubwa na kujisifia kuwa wanapendwa na kujisahau kabisa kuwa nao wanahitaji kurudisha upendo,uhusiano wa aina hii...
Hay vijana wenzangu mm nina umri wa miaka 25 nimemaliza elimu ya kidato cho 4 na mfanya kazi ktk componcy za mahoteli nimeamua kutafuta mchumba wa kike mwenye umri ucopungua miaka 24 bila ya...
My sweet husband I love you. You are the nice and sweet husband I have ever seen. I do always thank God for giving me such an outstanding person to be my husband and the father of my kids...
Wadau habarini za usiku.
Muda mchache tu uliopita nimetoka kwa swaiba wangu nyumbani kwake ambapo alinita nikajaribu kusulihisha kadhia iliyokua imetokea baina yake na mkewe.
Kadhia...
In the world of romance, one single rule applies: Make the woman happy.
Do something she likes & you get points. Do something she dislikes & points are subtracted. You don't get any points for...
Nimepoteza mapenzi kwa huyu binti na sijui kwa nini. Ni mzuri kwa sura na umbo, kakamilika kila kitu. Nikikiri ni demu kali kati ya mademu niliowahi kuwa nao. Ananipenda naamini, hajakaa...
Yaani huyu jamaa kamuoa dada yangu kabisa.. Jana jioni kanipigia simu, bwana shem njoo hapa- (hotel moja maarufu city center) tupunguze foleni. Nilikua na kiu kwelikweli dakika sifuri nikawa...