Nimepoteza mapenzi

Bolivar

JF-Expert Member
Oct 23, 2010
229
103
Nimepoteza mapenzi kwa huyu binti na sijui kwa nini. Ni mzuri kwa sura na umbo, kakamilika kila kitu. Nikikiri ni demu kali kati ya mademu niliowahi kuwa nao. Ananipenda naamini, hajakaa kimaslahi, not a gold digger! She has a job and prostects better than mine. Nimekuwa naye kwa kama miezi sita sasa ghafla tu nimepoteza mapenzi kabisa kwake. I like her but love is not there! Nashindwa kumwacha, naogopa kumuuziza jinsi anavyonipenda.

Wewe hii imewahi kukutokea? Mbaya zaidi pamoja na kuwa na miaka 25 binti alikuwa hajaanza mapenzi, yani wanaomfahamu wanashangaa nimepata vipi. Nilikusudia kumuoa lakini nipo njia panda mapenzi yamepotea ghafla.

Yako wapi mapenzi yangu kwake?
 
Huwa inatokea sana hiyo, wapo ambao huwa wanapoteza mapenzi kwa wake zao na kwa bahati mbaya usipofanya jitihada ya kuyarudisha unaweza kujikuta una mangamanga. Namna nzuri ya kurudisha mapenzi kwake ni kujipa muda wa kutosha wa kuwa naye katika maeneo ambayo ni ya nadra. For example mnaamua kuwa na outing special za mara kwa mara. Angalau kupata nafasi ya kuwa naye kwa karibu na kuexperience uwepo wake na umhimu wake kwako. Kama kuna kitu kinakukera juu yake mwambie arekebishe etc.
 
Funguka zaidi! Lzm kuna kitu, au amefanya/anacho au wewe umefanya:unacho.

Mfn
Is she too nice? Hakupi changamoto zozote?

Au is she too perfect kiasi kwamba you kinda feel insecure (kuwa yuko matawi ya juu).

Na mengine mengi tu ya ndani.
Jipe space (ukiweza safiri), na kama kamoto kanazidi kupungua aisee rudi nyumbani na muache kistaarabu; surely ataumia lkn baadaye atamove on na atampata right person for her!
 
Duuh bahati ya mtende hii, ngoja nsilaze damu, mkuu nipasie namba zake za Simu fasta .
 
Hujapoteza mapenzi,umepotezwa na baadhi ya mabinti waliokupa manjonjo labda useme huna msichana mwingine aliekufanya upoteze mapenzi.Sidhan kama msichana aliekamilika kwa yote upoteze mapenzi inakuja kweli?.au unajifil insecure kwa kipato chake?.wakati ni kitu minor kabisa kwenye mapenzi.
Try to be close to her,try not to compare her with other girls,especial kwenye love issues,ukasema kwa sababu mpaka 25 hajaanza mapenzi,huyu atakuwa hajui kitu.kumbe umedanganyika na vionjo kwa mabinti wengine au inawezekana muda wako mwingi upo kwa watu wengine.Kifupi,yeye humjali. kabisa.Unapokuwa karibu na msichana,utampenda tu,mapenzi hayapotei..Weka kadistance kidogo uone.Utamsahau kabisa,na kuona mapenz yameisha kama ulivyosema.

kumbuka:You might be busy collecting stones,and left the diamonds.
 
Kama humpendi achana naye, yanini kujilazimisha kukaa na msichana wakati humpendi...usije msumbua bure.

Bora umuambie ukweli, kuliko kumpotezea wakati wake.
 
Take a break sometimes it happens for few months but tell her what you have issue to sort out and may be you won't be very much available for her. This will help you to reassess your relationship maybe you will get it back otherwise usimpotezee muda
 
Mwanzoni hukumpenda bali ulimtamani na ukawa driven by emotions! Miezi 6 ni michache sana kumchoka mtu uliyempenda tena hata kabla hujamuoa,nijuavyo ndio kipindi mapenzi yanatakiwa yapambe moto..
Anyway jaribu kurestore mapenzi yako kwake,spend time with her sehemu tofauti tofauti,epuka kufanya mambo kwa mazoea,anapokosea mrekebishe,mweleze unachopenda akufanyie..
If it doesn't work then mwambie ukweli and let her go!
 
my lito bro, hujui nini ulichokifanya. at first you didn't love her but you liked her. it was love out of your emotions. mapenzi ya kweli huwezi ukayachoka ndani ya miezi 6. sikatai hata ya kweli huwa yanakuchokana but huwa inakuja kwa muda kisha iyo hali inatoweka na huwa inatokea baada ya muda usiopungua 3 years wa kuish pamoja.

nafikiri unahofia kuitwa mwnaume kama mabinti, au unajihisi wewe huna sifa za kuendelea naye. ushauri mzuri mwambie ili aanze maisha mengine, najua ataumia lakin itkuwa nzuri sana kwake kwani hata Dannielle Steel aliwahi kuandika the best devorce is that before marriage
 
Nimepoteza mapenzi kwa huyu binti na sijui kwa nini. Ni mzuri kwa sura na umbo, kakamilika kila kitu. Nikikiri ni demu kali kati ya mademu niliowahi kuwa nao. Ananipenda naamini, hajakaa kimaslahi, not a gold digger! She has a job and prostects better than mine. Nimekuwa naye kwa kama miezi sita sasa ghafla tu nimepoteza mapenzi kabisa kwake. I like her but love is not there! Nashindwa kumwacha, naogopa kumuuziza jinsi anavyonipenda.

Wewe hii imewahi kukutokea? Mbaya zaidi pamoja na kuwa na miaka 25 binti alikuwa hajaanza mapenzi, yani wanaomfahamu wanashangaa nimepata vipi. Nilikusudia kumuoa lakini nipo njia panda mapenzi yamepotea ghafla.

Yako wapi mapenzi yangu kwake?

Labda ulizoe kele, kele luv, kwa kuwa huyu wewe ndo wa kwanza mfundishe, anaweza kuwa amepooza wakati wa tendo kwa kuwa sio mzoefu, mfundishe, husimwache tafadhali karne hii kupata mdada mwenye miaka 25, ukamuanzishie rigwaridwe la mapenzi halafu ukamtosa, jamani haifai, mwambie tu unachopenda, na umfundishe, asome vijarida vya mapenzi, aangalie movie za mapenzi ili apate maujanja, masikini nimemuhurumia, yeye hapo saa ndo ana moto kweli na wewe kwa sababu si umemuonjesha asali, sasa anataka kuchonga mzinga, kumbe mzinga hauchongeki, husimfanye ajute kukufahamu.
 
Kupoteza mapenzi hakutokei bila sababu, inaweza ikawa si sababu ya maana kiasi cha kushindwa hata kuwaambia watu. Jaribu kuangalia kama kuna tatizo urekebishe. Kama unataka kuendelea na huo uhusiano usiiache hiyo hali ya kupoteza mapenzi ikutawale. Jiweke karibu na mpenzi wako hasa kwa mawasiliano, fikiria mazuri yake zaidi(ukifikiria mapungufu/mabaya yake utazidi kupoteza mapenzi).
Hayo yote yakishindikana ni bora umweke wazi atafute ustaarabu mwingine kuliko kupotezeana muda zaidi.
 
Hujapoteza mapenzi ila hunaimani na anachokifanya mana umezoea kukuta washakufundishia huyu unahisi hawezi..acha uzembe wewe kwenye game uko muda mrefu yeye mgeni mfunze bana si kumuacha na ukimfunza ataikitokea mbeleni hujamuoa atakukumbuka kila anapofanya mapenzi
 
waswahiliwanasemahuwezi kujua thamani ya ulicho nacho hadi ukipoteze....... Ukimwacha ndo utajua kama unampenda au vipi...
 
Back
Top Bottom