Dawa ya moto ni moto, hata kwa mapenzi INAHUSIKA ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya moto ni moto, hata kwa mapenzi INAHUSIKA ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Judgement, Apr 21, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wadau habarini za usiku.
  Muda mchache tu uliopita nimetoka kwa swaiba wangu nyumbani kwake ambapo alinita nikajaribu kusulihisha kadhia iliyokua imetokea baina yake na mkewe.
  Kadhia niliyoitiwa ni mke wa swaiba kufumania msg's kadhaa kwenye cm ya husband.
  Msg's hizo ambazo baadhi ni za Inbox na baadhi za Sent items.
  Hata mie nilipoonyeshwa na shemeji yangu hakika domo lilinijaa mate,
  kwani ziko full viashiria swaiba ni cheater.
  Alichofanya Shem ni kuzi'fwrd kwenye cm yake mara tu alipozifumania.
  Kilichopelekea swaiba anite haraka ni viapizo alivyokua akiviapa mkewe,
  na hasa swaiba alinambia neno moja ambalo mkewe alikua akimwambia huku akilirudiarudia ndilo lililo mtisha kupita yote.
  Neno "nautaona nitakachokufanya nakwambia hutosahau"
  Nilipomuuliza swaiba yeye anadhani ni nini hicho atakachofanyiwa?akanijibu anadhani kua maana yake nae wife wake atam'cheat .
  Aidha nami nikajikuta napata dhana hiyohiyo, hata hivyo kwa leo sikuweza fanikiwa kufikia muafaka kupata suluhu kutokana na condition ya shem kua too tamper.
  Nimelilaza zoezi hadi kesho, pamoja na hayo nimelazimika nije Jamvi nipate walau mawili ma3 husussan kwa wadada kwamba malipo ya kumlipa Mume/boyfrnd aliyethibitika anacheat ni sawa umlipe kwa wewe kucheate ?
  Dawa ya moto ni moto, katika eneo hili inahusu ?
  Kama inahusu ukamlipa kiivyo je? Ukajafumania tena anacheat na wanawake wawili ziada na wewe mwanamke utaongeza idadi pia ya ku'cheat ?
  Ipi njia sahihi ?
  Naomba kutoa hoja
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Unajua huwa wanasema 'ukienda rumi, ongea kama warumi'

  katika mahusiano, hakuna jibu la yes/no au 3.

  Ni jinsi kichwa cha mtu kinavyopokea information, kuziprocess, interpret na kutoa output katika lugha inayoeleweka kwa alichitiwa.

  Kama kichwa chake kimefanya yote hayo na kuona jibu ni yeye kucheat pia huwezi mbadilisha, sana utamsaidia kuahirisha sababu kwake solution ya kucheat ni yeye kucheat pia.

  Sasa ufanyaji kazi wa komputa ya kichwa cha mtu inaathiriwa na makuzi yake na mazingira anayoishi kwa wakati huo.
   
 3. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh, ngoja wadada waje wakiamka!!
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Comment imetulia!
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Well said Kongosho
  Ikiwa midnite, mabusara yansoverflaw

  Judgement, kama kweli uamuzi wa dada ni kucheat (which l doubt) then tumia reasoning hiyo hiyo uliyoiweka jamvini.

  Kama akicheat, kutakuwa na jamaa ambaye anamfukuzia na huyo mdada alikuwa sort of attracted ila hakukubali kwa ajili ya kulinda ndoa; lkn sidhani kama ataanza kusaka mume ili a-revenge alivyotendwa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mwambie asamehe mara sabini
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sometimes it helps
   
 8. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,125
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  ni kweli
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  inategemea
  wengine huongea out of anger tu
  anaweza asifanye lolote
   
 10. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  we boss umenena vema
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Well Said Da Mkubwa......... kurevenge si suluhisho sahihi. Ila nakumbushia tu kuwa si kwamba ukiwa kwenye ndoa hutongozwi, huwi attracted, for heaven's sake you are still a human with feelings, you aint changed kwa kuwa umeolewa. Cha muhimu ni kuwa na uwezo wa kujizuia kutomsaliti mwenzio. Tunatongozwa kila kukicha and sometimes tunajikuta nasi tunafall but unajikumbusha kuwa you love someone elso and you are committed to him already.

  What I am saying hapa ni kuwa Waume zetu tunawapenda, tunawaheshimu lakini si kwa kuwa hatuna uwezo wa kucheat au kutongozwa la hasha, tunajua maana ya mapenzi yetu kwenu na commitment.

  Kuhusu kurevenge, am telling you its very easy hasa ukizingatia voltures wapo ready waiting, so kama amedhamiria she will surely do that, watch her
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  An Eye for an Eye, will Make all world Blind
  Si vema kupoteza utu wako kwa kumkomoa mwenza wako (sababu kama its not in you, utakuwa unaumiza nafsi yako), sio kila mtu ni cheater na sio kila mwanamke anaweza kucheat (wengine wakifanya roho inawasuta)

  Hivyo basi mwenyewe anajifahamu kama anaona kucheat itaondoa (pressure na hasira) anajua mwenyewe, ila kuliko kuharibu / kuondoa utu wake bora kuachana na huyo mtu.., sababu kwenye hivi vita vya panzi sio nyasi pekee zitakazoumia (watoto) bali na panzi wenyewe (wapenzi) watakuwa wanajimaliza kwa kufaidisha kunguru (jamii na hao wanaowapa uroda)
   
Loading...