nimetokea kumpenda binti mmoja ivi yoko moro na mimi niko dar ila huyu binti ana ujauzito wa miezi 5 aliopewa na mchumpa wake wazaman kiukweli maisha yake ni magumu sana kwani ana mtegemea mama yake kwa kila kitu inatokea muda mwingine wanakosa hadi mlo wacku.tatizo nikwamba ananifosi nimpe hela aitoe hiyo mimba lkn sina uwezo wakumpatia, ss anataka atumie njia ya kienyej kuitoa ila ninacho hofia anaweza poteza maisha, nifanye nini wana jf