Wenye uzoefu wa kudate na mabinti walio under 20yrs tu!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Eti jaman,nyie hawa mabinti mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu kwake ye kiko zigzag!!ebu nipen maujanja kidogo,maana leo nimeudhka hadi nikatamani kukalamba makofi..
 
Ujinga mwingine. . . .
Sasa kama ni mtoto mwenzio unashindwaje kumuelewa? Akili zenu si zinafanya kazi sawasawa?
 
Mwanamke kamili thread kam hizi ni za watoto hebu waachie uhuru nao waweze kujiona kwamba Internet inawapa manufaa!!...hebu njoo kwa pm au kwenye mawasiliano mbadala i need ur word.
 
Eti jaman,nyie hawa mabinti mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu kwake ye kiko zigzag!!ebu nipen maujanja kidogo,maana leo nimeudhka hadi nikatamani kukalamba makofi..

pumbavuuu kabisa tutolee UKANLULU au UKOMBALULU,, peleka haya mambo kuleee fb,nyio ndio mnatuharibia jukwaa na kujaza server za jf.
 
asa kama huna uzoefu wa kudate na hao watoto wa dezain hyo,si ungejipitia kimya kimya tu.
 
Mwanamke kamili thread kam hizi ni za watoto hebu waachie uhuru nao waweze kujiona kwamba Internet inawapa manufaa!!...hebu njoo kwa pm au kwenye mawasiliano mbadala i need ur word.

Nakuja mwanaume kamili. . .been a while!!!
 
acha kuhema hema.rudi kwenye mada.
Sasa wewe dogo hii ni mada gani? kwa nini mnatuharibia hii forum?.....sio lazima uazishe thread kama hauna kitu cha msingi cha kushare na members humu, huu ni upumbavu unaleta hapa.
 
Eti jaman,nyie hawa mabinti
mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu
kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu
kwake ye kiko zigzag!!ebu nipen maujanja kidogo,maana leo nimeudhka
hadi nikatamani kukalamba makofi..

mwenye uzoefu kashakufa kanumba cc wengine aku 2napenda wa2 wazima wenze2
 
......unajua kabisa tar. hizi watu hawana hela...wamejibanabana wamenunua bundle... Afu wanakuta post kama hii... Lazma wakulipue..
 
Eti jaman,nyie hawa mabinti mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu kwake ye kiko zigzag!!ebu nipen maujanja kidogo,maana leo nimeudhka hadi nikatamani kukalamba makofi..

Bembeleza kaka ikibidi mtolee machozi huwa wanapenda sana wakiona machozi ya mtu mzima.

Back
Top Bottom