Tuwapu hongera wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwapu hongera wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Congo, Apr 18, 2012.

 1. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Hii nimeipata mahali. sijaitunga mimi.


  Kuna tukio nililiona MAISHANI:

  Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
  IMAGINE:

  ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

  UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana . Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

  UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

  UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

  CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

  UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

  UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

  Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

  HIVI INGEKEWA WANAUME

  TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

  Kwa leo acheni tu niwape
  heshima zao wanawake wote:

  I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

   
 2. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kwakweli wanawake tuna moyo wa upole na huruma na subra,mwanamme hawezi hata kidogo ukimfanyia moja kati ya hayo basi ujue ushachamba *****....
   
 3. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Sio wanawake wote wenye mioyo hiyo,wapo pia wasoweza kuvumilia
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,652
  Likes Received: 2,038
  Trophy Points: 280
  Mi kwa kutambua hayo ndo maana namhudumia sana mke wangu!
   
 5. shikolo

  shikolo Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini mwisho wa cku mwanamke akichoka kuvumilia huwa anakuwa na maamuzi mabaya sana ya kikatili na yenye kuhitaji ujasili wa kuyatekeleza
   
 6. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Take triple like from Ynnah
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Aloo...sio mimi. Upuuzi huo na akatafute bibi yake aishi naye maana wanawake wa zamani walikuwa wanafanya hivyo lakini kwangu wrong number.

  Sina roho ya chuma.......eboh
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...BIG UP sana wanawake... NOTE kitu kimoja...hawa wajamaa wanasamehe lakini kamwe hawasahau....
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kusahau yaliyokuumiza ni sawa na kusahau jina lako (ni ngumu sana).
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hao unaongela wale wanawake wa zamani, si hawa wa siku hizi.
   
Loading...