Uzoefu wangu,Penda,na unapopendwa pendeka ila kuwa tayari kuumizwa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzoefu wangu,Penda,na unapopendwa pendeka ila kuwa tayari kuumizwa!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Apr 20, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Watu wanafurahia kupendwa na wanapenda,lakini wapo wanaopendwa na vichwa vinakuwa vikubwa na kujisifia kuwa wanapendwa na kujisahau kabisa kuwa nao wanahitaji kurudisha upendo,uhusiano wa aina hii lazima utakufa tu,hivyo ni vizuri unapopendwa nawe ukarudisha upendo ili mfurahie mahusiano yenu,lakini pia unapokuwa kwenye mahusiano usikae kikondoo ukadhani kuwa huyo hawezi kubadilika,huyo sio malaika.Fikiria na upande mwingine wa shilingi,unaweza ukaachwa hata kama wewe ni mzuri,handsome,una hela,ni mtaalam kitandani n.k.Epuka kuja kuwa kichwa cha habari cha vyombo vya habari kwa kufanya mambo ya ajabu baada ya kuachwa!
   
 2. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  zidumu fikra za mwenyekiti'
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ila sio kama za magamba!
   
 4. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  tehe! tehe!
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Usivunje mbavu tabibu!
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Penda ili upendwe!
  Jali ili ujaliwe!
  Thamini ili uthaminiwe!
  Amini ili uaminiwe!
  Jitunze ili utunzwe!
  Jiheshimu ili uheshimiwe!

  Timiza wajibu ili ukiwa disappointed ujiridhishe kuwa he/she did not deserve you; hivyo hutajilaumu kuwa labda sikufanya hiki au labda ningefanya hiki things wouldave been different!
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Wise words Eiyer....
   
 8. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwe wasyove nigagwa!
   
 9. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ??????????????????
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nnmh kaka; umepata kitu hapo l presume! LOL
   
 11. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Was just wondering ilumbuye
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Thanx much!
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Lakini hujatoa mtazamo wako; ikuluye! Wigwa yes, lkn what do u think? Tuache kupenda kwakuwa tutaumizwa? Kila mtu akimtegea mwenzake kuna mapenzi tena?

  Do your part n God will do the rest!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kaunga na KIKUNGU mnazungumza lugha gani?Ikuyuye Wigwa!!Mh!
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kinyamwezi, samahani lkn. Wigwa maana yake umesikia, ikuluye (kaka yake, mkubwa wake ref ..ikulu)
   
 16. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  You are right my sister,ukipenda utoe moyo wako wote na wala sio nusu,ukiumizwa piga magoti mwambie mungu mbona unaniacha mungu wangu,mungu ni mwema sana atakupa mwingine mwenye kufanana na wewe.
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Mh!Mi najua ukisema uliigwa ndo unamaanisha umesikia,au kuna tofauti kati ya kisukuma na kinyamwezi?
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Well said! Asante kwa mabusara! Haya kaka mlale mpola; tukwiwona igolo, olo Mlungu watogwa!
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh, ngoja nichangamke, nimebweteka sana.

  Natenga mayai yangu kwenye makapu 6 lol
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kuna katofauti kadogo sana; wigwa na uligwa vikitamkwa both wanyamwezi na wasukuma tunaelewana!
   
Loading...