Darling I love you

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,670
My sweet husband I love you. You are the nice and sweet husband I have ever seen. I do always thank God for giving me such an outstanding person to be my husband and the father of my kids. Whenever i think of the 10 years we have been together I do assume it to be just a day. you mean alot to me and to our kids. May the blessings of our good God be upon you as you pray and may his Holy spirit be upon you wherever you go. I pray that our love will last forever till we see our grandkids........... you are good G.

............................Dear G' YOU ARE SO LOVELY. Love you a lot my sweetheart. HAPPY ANNIVERSARY DEAR FOR CELEBRATING 10 YEARS OF OUR MARRIAGE.

Ilu
Ilu
Ilu
 
He has a wonderful wife :A S shade:

Keep your husband happy :poa
Thanks Fazaa.
I should so because he is everything i have in terms of love. YOU TOO DO IT FOR UR HUBBY OR CUTTIE
 
Happy 10yrs aniversary Mr&Mrs G
May you cerebrate this day together 50more years to come!
 
Hongera saana.... Sijui kwa nini, hua naona ten is kind of a first golden number katika ndoa. Mkifika ten years hua naona probability ya kudumu hadi utu uzima ni kubwa... Kila la kheri katika ndoa yenu.
 
hajmbo kabisa leo anashuhudia wazazi wake akitimiza miaka 10 ya ndoa. such a coincidence
daah safi dia
uwe mama bora kwa wanao
na mke bora kwa mumeo
wish u all the happiness in the world my love..
 
Hongera saana.... Sijui kwa nini, hua naona ten is kind of a first golden number katika ndoa. Mkifika ten years hua naona probability ya kudumu hadi utu uzima ni kubwa... Kila la kheri katika ndoa yenu.
Ni kweli kabisa AshaDii NA SABABU NI HIZI HAPA

miaka 5 ya kwanza ya ndoa inachangamoto sana, manake mnakuwa hamjajuana kivile kwahiyo kila hupelekea wapendanao kuona kuwa mwenzie anaboa.

miaka 10 ndiyo miaka inayopita mkiwa mnatafuta maisha yaaani mnajenga, huku mnazaa na isitoshe pia ndugu wanawatizama.

ndani ya miaka hii pia kwasababu ya ulezi wa watoto waogo wenzetu wababa wengine wanakuwa siyo wavumilivu. kwahiyo kama usipokuwa makini wewe mama unaweza kumpoteza kabisa baba. manake unamnyonyesha mtoto huku unatakiwa umnyonyeshe baba.

ndani ya miaka hii ndio wale wapinzani wako hasa ndugu wanajiinua sana na hawa huwa ni mwiba mkali nani ya ndoa. ila ukiwapuuzia tu umewashnda, kwani baada ya 10 yrs mnakuwa sasa wewe baba na mama mmeshajuana vizur hivyo hata mtu aseme nini haliwapi shida.

Lakini pia Asha wanaume huwa wanabadilika kurudia ujana unapomaliza majukum ya kujenga na kuzaa na kama hajafikisha miaka 45 na siyo mwaminifu basi lazima atacheat tu. ila akifikisha umri huo wa 45 basi hurudi tena nyumbani kwa nidhamu. yapo mengi nitakuandikia baadae.
 
Asnte sana AshaDii. pia ulichokisema kina mantiki sana ngoja niandikie thread niitume.
 
Hongera mr&mrs G..waoh waoh..muwe Happy 4ever mama G! Mtimize ahadi ya ndoa,na Mungu awabariki
 
Hongereni na kuweni waangalifu.Mafanikio yawe kama changamoto kwenu!
 
Ni kweli kabisa AshaDii NA SABABU NI HIZI HAPA

miaka 5 ya kwanza ya ndoa inachangamoto sana, manake mnakuwa hamjajuana kivile kwahiyo kila hupelekea wapendanao kuona kuwa mwenzie anaboa.

miaka 10 ndiyo miaka inayopita mkiwa mnatafuta maisha yaaani mnajenga, huku mnazaa na isitoshe pia ndugu wanawatizama.

ndani ya miaka hii pia kwasababu ya ulezi wa watoto waogo wenzetu wababa wengine wanakuwa siyo wavumilivu. kwahiyo kama usipokuwa makini wewe mama unaweza kumpoteza kabisa baba. manake unamnyonyesha mtoto huku unatakiwa umnyonyeshe baba.

ndani ya miaka hii ndio wale wapinzani wako hasa ndugu wanajiinua sana na hawa huwa ni mwiba mkali nani ya ndoa. ila ukiwapuuzia tu umewashnda, kwani baada ya 10 yrs mnakuwa sasa wewe baba na mama mmeshajuana vizur hivyo hata mtu aseme nini haliwapi shida.

Lakini pia Asha wanaume huwa wanabadilika kurudia ujana unapomaliza majukum ya kujenga na kuzaa na kama hajafikisha miaka 45 na siyo mwaminifu basi lazima atacheat tu. ila akifikisha umri huo wa 45 basi hurudi tena nyumbani kwa nidhamu. yapo mengi nitakuandikia baadae.

Ukiishi na mumeo akawa anaku cheat once in a while katika ndoa.... ni tofauti na yule ambae hajawahi cheat akaja cheat baada ya miaka. Hapo hata ndoa yaweza kufa kabisaa... Sijui labda nakosea ila naelewa hivo.
 
Kwahiyo mimi ntasubiri mpaka miaka 45 ifike ili niwe na nidhamu. Ushauri wenu utazingatiwa
 
Hongera saana.... Sijui kwa nini, hua naona ten is kind of a first golden number katika ndoa. Mkifika ten years hua naona probability ya kudumu hadi utu uzima ni kubwa... Kila la kheri katika ndoa yenu.

Why does it take that long for marriage to stabilize? Au baada ya miaka kumi ndo kila mtu ana give up na kuamini that is it...hakuna tena njia nyingine ni kuubeba huu msalaba mpaka mwisho.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom