Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Wadau kunadada mmoja toka Arusha kabila ni muiraq, namkubali sana sana sana, lakini sijajua wasifu wa kabila hili, nawaombeni mnisaidie tabia na tamaduni la kabila hili kwa wale wanaolifahamu...
0 Reactions
98 Replies
35K Views
Umezaa watoto wako wawili ukiamini wanatosha kwa maisha ya sasa. Mmeo kwa sasa ndio mkubwa kwao na pia wanakaka yao ambaye alikuwa ni mkubwa kwake akafariki na kuacha mototo mmoja wa kuime jina...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar! Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa...
2 Reactions
146 Replies
10K Views
Happy workers day jana wana JF naamini wengi wetu hapa tumeajiriwa kwenye ofisi mbalimbali na wachache wamejiajiri.........ni sawa! tukirudi kwenye uhalisia wa maisha ya kila siku;pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu. Sifa: 1.Mkristu. 2. Age range from 24-28 yrs old. 3. Usiwe ushatowa mimba . 3. Uwe na upendo wa dhati. 4. Education level; Form 4...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tukubali tukatae wapo ambao wanatamani dunia irudi nyuma ili ndoa zao zife,kwani wanashindwa kufanya hivyo sasa kwa sababu ya kidini au za kutokujiamini!Ngoja nikwambie kitu,hakuna Mungu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua? nampango wakumpiga...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
jina langu Zubedayo Mchuzi. Kabila langu Msukuma Rangi Mweupe Body Si Mnene wala Si mwembamba/ mwili wa Mazoezi. NATAFUTA-MCHUMBA NATAFUTA-Natafuta binti wa kitanga (18-26) aliezaliwa na...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida? 1:Bar maid 2:Mwalimu 3:Msusi 4:Secretary 5:Fundi wa kushona NB: NAMBA...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Hamjamboooooo wanduguuuuu
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Je ni haki mwanamke(mke) aamue kuletewa mke mwenza (mwanaume kupata ruhusa kuoa mke wa pili)?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza…………!" Hebu tuchukulie kwamba...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
:) INFO: A solid product that focuses on ways to use humor to become attractive to women. Filled with good material and examples, "Make Women Laugh" can be helpful if you are interested in...
13 Reactions
18 Replies
886 Views
nilikua na girlfriend ambaye wakati wowote ambao yeye alinihitaji kwa ajili ya sex alikuwa anasafiri kutoka mkoa anaoishi kunifuata nilipo na kupeana malavi davi. Aidha mm nikimuhitaji alikua...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
jamani samahani kidogo wanaJF ila tu ni katika hali ya kujuzana mambo 2 ma3 ya kijamii,hivi kwa mfano mtu akaenda kusex kwa kutumia kinga(condom) na tahadhari zote za ziada kama vile kutoingia...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
For me its was when I saw The only girl I loved and wanted, reconnect with her ex bf and rekindled their love. How about you?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km tukiafikiana tufunge ndoa, sifa zake; Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au...
4 Reactions
92 Replies
11K Views
Back
Top Bottom