Tujikumbushe 'wachumba' wetu wa utotoni

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Kwa wale tuliozaliwa katika mazingira ya kitanzania halisi, mtakumbuka wakati wa utotoni wazazi walikuwa wanam-refer

mtoto flani mwenzio kama 'mchumba' wako au wewe mwenyewe ulikuwa unatreat kama 'mchumba' wako. Hivi bado

unamkumbuka? Mliwahi kucheza kibaba baba na kimama mama? Mliwahi ku -do? Unajua alipo sasa? Mkikutana huwa

inakuwaje?
 
duh, mie haikuwa wazazi wanaom-refer
ila kaka na dada zangu walikuwa wananitania kama adhabu nikikataa kufanya kitu. Basi nilikuwa NALIA kuliko hata fimbo, walinifanya nikamchukia nisingeweza hata kusogeleana naye much less kucheza.

Mtoto mwenyewe alikuwa mkubwa kwangu kama miaka 4 hivi, afu alikuwa wa kutafuta mchana na tochi, mkorofiiiiiiiiiiiiiiii.

Yaani sasa hivi ameshakuwa mlevi hajitambui tena, analewa kuanzia saa 12 asubuhi afu kama kawa mdokozi.
 
haya majibu yako ndo yanaletaga utata juu ya jinsia yako...
AU UNACHANGIA ID+PASSWORD NA MKEO??????
 
duh, mie haikuwa wazazi wanaom-refer
ila kaka na dada zangu walikuwa wananitania kama adhabu nikikataa kufanya kitu. Basi nilikuwa NALIA kuliko hata fimbo, walinifanya nikamchukia nisingeweza hata kusogeleana naye much less kucheza.

Mtoto mwenyewe alikuwa mkubwa kwangu kama miaka 4 hivi, afu alikuwa wa kutafuta mchana na tochi, mkorofiiiiiiiiiiiiiiii.

Yaani sasa hivi ameshakuwa mlevi hajitambui tena, analewa kuanzia saa 12 asubuhi afu kama kawa mdokozi.

we kiumeni au kikeni?
 
Aisee mimi simkumbuki jina, ila kaka yangu ambaye sasa hivi ni Padre; alitukamata chooni. Akataka kunisemea kwa mama, nikambembeleza akauchuna. Ila aliniuliza kuwa huwa tunasikia nini tunapofanya matusi! LOL

I wonder kama anakumbuka, he must kama mimi ambaye hata shule nilikuwa sijaanza nakumbuka!
 
Kongosho
Ulijua kuchagua tangu mdogo!
Mimi nilikuwa nataniwa na wababu hiyo ya uchumba.
 
Last edited by a moderator:
Duh Calinde umenikumbusha mbali sana,nilikuwa na binamu yangu huko kijijini unyamwezini tulikuwa tukienda likizo toka pwani,na kile kiswahili cha kipwani basi alikuwa ananipenda sana.Kipindi hicho cha likizo watoto tulikuwa wengi hapo nyumbani kwa hiyo tulikuwa tunalala sebuleni watoto wote wa kike na wakiume kwa hiyo yeye alikuwa analazimisha tuwe tunalala karibu karibu.Tulikuwa 'marafiki' sana,baada ya kuwa wakubwa,kuolewa na kuoa tulikuwa tukionana tunakumbushana jinsi tulivyokuwa close utotoni.

Kuna makabila ya pwani kama Wadigo,wanaruhusiwa kuoana mtoto wa mjomba na shangazi,sijui kwa wanyamwezi kama inaruhusiwa.Ngoja nimsubiri Kaunga,Sikonge na Itegamatwi waje watuambie
 
532745_10151522326925284_734810283_23111677_1785093955_n.jpg
 
Aisee mimi simkumbuki jina, ila kaka yangu ambaye sasa hivi ni Padre; alitukamata chooni. Akataka kunisemea kwa mama, nikambembeleza akauchuna. Ila aliniuliza kuwa huwa tunasikia nini tunapofanya matusi! LOL

I wonder kama anakumbuka, he must kama mimi ambaye hata shule nilikuwa sijaanza nakumbuka!

Mmmh dada Kaunga mama asingekuacha na hili,lazima angekufinya hako 'kanyioo' hadi utoke damu maana navyojua kina mama wa zamani wa kinyamwezi walivyokuwa strict ungeipata mbona
 
Da! Mimi binamu zangu nimerukia sana wakati wa utotoni. Alafu mashine yenyewe ilikuwa haiingii basi unabaki kupiga midomo tu "ash ash ash ssss kibao. Mabinti wa jirani ndo kabisa, tukienda kucheza tu, lazima nijichagulie kamoja alafu mwendo mdundo mchezo wa baba na mama unachukua mkondo wake. Usipime...
 
KIKUNGU
Nnmh hiyo ya kuwa 'marafiki' maana yake mlikuwa mnaDO?

Ila hili la mabinamu ni common sana, atleast unyamwezini l think kuna ruhsa ya kuoana. Ngoja tuwatafute wazee wa mila!

Lkn kaka, mkionana na huyo Binamu, hamfikirii kukumbushia ile michezo ya chini ya miembe?
 
Last edited by a moderator:
Aisee mimi simkumbuki jina, ila kaka yangu ambaye sasa hivi ni Padre; alitukamata chooni. Akataka kunisemea kwa mama, nikambembeleza akauchuna. Ila aliniuliza kuwa huwa tunasikia nini tunapofanya matusi! LOL

I wonder kama anakumbuka, he must kama mimi ambaye hata shule nilikuwa sijaanza nakumbuka!

Chooni? Mlikuwa mnajiskiaje?
 
Mmmh dada Kaunga mama asingekuacha na hili,lazima angekufinya hako 'kanyioo' hadi utoke damu maana navyojua kina mama wa zamani wa kinyamwezi walivyokuwa strict ungeipata mbona

Ayi kaka ningejua umeingia humu, nisingetoa upuuzi huu humu! Kweli mama angenifinya mpaka ningeipata! Ila thank God, watoto wa siku hizi hawachezi sana michezo ya baba na mama thanks to Cartoon Network!
 
KIKUNGU
Nnmh hiyo ya kuwa 'marafiki' maana yake mlikuwa mnaDO?

Ila hili la mabinamu ni common sana, atleast unyamwezini l think kuna ruhsa ya kuoana. Ngoja tuwatafute wazee wa mila!

Lkn kaka, mkionana na huyo Binamu, hamfikirii kukumbushia ile michezo ya chini ya miembe?

Mmmh dada kwani kulikuwa na utamu wowote basi,tulikuwa wadogo mno jamani hata starehe haikuwepo ila sijui binamu kama alikuwa anaijoi kwani yeye alikuwa mkubwa kidogo.Tukikutana siku hizi tunataniana tu,ila namtamani maana alivyofungasha,si unajua watoto wa kinyamwezi walivyofungasha huko backyard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom