Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Thomas Beatie, who made headlines in 2008 as the only legally recognized man known to have given birth, has separated from his wife of nine years, according to People magazine. Beatie, who has had...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Jacob Zuma ametangazwa kuoa mke wa sita. Kwa sasa ana wake wa ndoa 3 baada ya ndoa nyingine 2 kusambaratika. Pamoja na huyu mke mpya ambaye umri wake ni mdogo kuliko baadhi ya watoto wa Zuma...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wan jf nambïen kama nikweli ktk mausiano ya mapenz kusema" wanaume wanawachezea mabint/wamawake"....
0 Reactions
5 Replies
943 Views
I'm sorry, did you just say I'm too young for so much grey hair? Parents are careful about what they say to their kids. They even pay attention to questions they might pose to their childfree...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaza, ndoa nyingi tulizo nazo ama zimepangwa au watu wamependana kiukweli. Kwa mfano watu wanamuona uliyempenda haja 'qualify' na wewe wakikulazimisha umuoe/uolewe na wanaomuona ka'qualify' wewe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
napenda funny comments zafanya siku yangu iwe njema,, sitafuti mchumba wala mume wala mpenzi,, ila napenda kupata rafiki wa kucheka nae tuuuu,,,, cheeers!!!
0 Reactions
36 Replies
4K Views
  • Closed
Wachaga wanapenda pesa, Wahaya Usomi na Majigambo, Wakurya kupigana na kupiga, Wapare Ubahili, Warangi wana sifa Gani? Tujuzane jamani?
0 Reactions
69 Replies
74K Views
Ahmedy Quasim ni jina langu, umri 21 yrs, naishi Moshi Mjini, wasifu wangu; urefu 5.6ft, ni mwili wangu wa wastani, ni mweusi, kiini cha jicho cheusi, mtanzania, muislam. Vitu ninavyo pendelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners gather are known to be pick-up joints for women of certain nationalities. But there are now complains that there seem...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kijani rijali ukishavuka umri wa miongo mitatu bila kuoa au kuwa na mtoto unasakamwa huko na kule. 'Hivi mwanetu utaoa lini?', utaulizwa na wajomba na shangazi zako. 'Yaani unataka tufe kabla ya...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Niko na binti tumejuana sikuchache zilizopita juzi nikawa na date naye lakini ivi nimeamua niachane naye bcoz of 1.alikuwa kavaliaa na kujipodoa zaidi ya haja, mdomo kapaka rangi kupita kiasi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habari jf, mimi ni kijana wa mwenye miaka 26, natafuta mchumba wa kike ambae nitakuja kuishi nae baadae kama mume na mke Ni mwanafunzi uhandisi wa mawasiliano(finalist), mkristo. Ni mrefu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mm ni kijama wa kiume (22) yrs old, Natafuta mchumba awe mwenye kujiheshimu na mwenye mapenzi ya kweli na awe under 20 yrs old
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hey
Me natafuta mtoto tuu...grama za mimba ni za mwanamke mimi natumia gharama kumlea tu.sina time na demu.......malezi uwe tayari kumuachia bibi yake mama yangu amleee....uhuru wa likizo ni juu ya mama.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
niko mwanza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF, Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana. i love my beibe!!..
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Mara nyingi hutokea mtoto anayezaliwa nje ya ndoa huwa ni wa baba tu wa mama tunampataje?MAANA YANGU NI HIVI MTOTO ANAJUMUISHWA KWENYE HUYO FAMILIA JAPO HUTOKEA KUTOKUELEWANA KWA BABA NA MAMA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani sijui nimekuaje maana siku hizi sina hamu kabisa navitoto au wasichana wa umli wangu...... Nimejikuta nikipenda sana wanawake walionizidi umri sijui kwanini akipita demu antihivi au mmama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali tete,wife kasafiri,mwenye nafasi jamani tukasaidieni kidogo,ani pm tuoeane maelekezo zaidi!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom