Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bougues, Jul 3, 2012.

 1. B

  Bougues Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kitu kimoja kinantatiza sana wanawake wengi kama si wote wakifika stage wakawa na conflict na mpenzi wake wana revenge kwa kutembea na mtu/ watu wengine na mara nyingi kipindi hicho ndo wanagongwa vibaya alaf badae wanajilaumu bada ya kuhesabu idadi. Munaweza kukubaliana na mimi au kukata lakini nimefanya ka utafiti kidogo nikagundua hili swala ndo mana hata mkiwa na ungovi mwanamke atakimbilia kusema au unadhani mimi sipendwi au sitongozwi mwanamke anaesema hivyo ujue tayari kuna dought either kashaanza au she is in the process alaf cha ajab wakiwa na wanawake wenzao wanajisifu eti mimi namuagalia tu siku hizi si nalipiza kisasi kwa kwenda inje lakini maana halisi ya revenge ni nini? kwamba unae mlipizia kisasi aone na a feel pain kama unafanya in hiding is that really revenge???
  Ndio maana hata watalam wakutembea na wake za watu wanasubiri kipindi wamegombana na waume zao ndio wankua kazini. Na hiyo ndio favourable moment kwao au ndio kale kausemi kwamba wanawake ni dhaifu tuishi nao kwa akili

  Naomba mtupe majibu kuhusu hili swala ladies please!!!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mwalimu wa wanawake ni kipofu

  sijui wahenga walijuaje?
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  nice observations
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,351
  Likes Received: 2,359
  Trophy Points: 280
  Wehu sana revange gan unapeleka uchi wako mwenyewe ukachapwe.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  umetukana spishi ya kike, anyway its ur opinion.
   
 6. Haven

  Haven Senior Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmh sio lazima aone hata akisikia tu inatosha...kwa kukusaidia tu since your not a woman you will never understand any of them, let them be!!!
   
 7. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa matusi hayo unategemea tukujibu!!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  please ukiwa na hamu ya revenge ya mtu wako
  ni pm please
   
 9. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  umesahau wanaume ambao hata wasipogombana na wake zao ni kukimbilia wauza bar na wake za watu tena wazee kwao wameshachoshwa na mtaa mzima kakijana kalichooa juzi kwa msaada wa serikali na bado hajalipa deni la serikali unakuta ana makahaba kumi wake za watu na chafuchafu za mtaa siku mbili kazi hana anabaki kuiba akiba za mkewe umekuja nusu huyu unategemea mkewe anamlipa kisasi kipi
   
 10. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mjibuni sasa mwana..... mwenzenu, au mnamogopaa?
   
 11. B

  Bougues Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman matusi gani tena Catherine am just speaking my mind and what we observe in society au guilty consciousness inakusumbua najua facts are bitter and ofcourse they are bitter pills to swallow ila just bear with me
   
 12. B

  Bougues Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhan Teltaibi ujaelewa post yangu vizuri maana ya revenge ni impact yake ionekane mfano umenipiga kibao namimi nakurudishia kibao au ngumi lakin kama nimeenda inje bila hata ugonvi manaake ni kwamba hiyo ni tabia yangu au hulka yangu lakin kwa ladies ni tofauti anadhan ana revenge wakati anae mufanyia revenge haoni sijui kama umenielewa
   
 13. B

  Bougues Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijatukana jaman ni observations ambazo hazina ubishi na wewe mwenyewe unalielewa hili swala au??
   
 14. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu, vipi mshkaji wako ndo anamgonga nini!
   
 15. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haha BOUGUES nilikuwa na kausingizi nikajikuta nimepitiwa ila tx kwa like yako kwa kuongezea majuto ni mjukuhu
   
 16. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kesho nitafanya rvsn then nitarudi tena
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Sijawahi fanya hivyo na mimi ni mwanamke; tukogombana na kufikia hatua ya kunidisgust ninakutema, ninakaa not less than 6 month ndipo moyo ukiruhusu naweza penda tena. Naweza ishi bila mwanamume!
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  this does not apply nowadays boss. Mbona hata wanaume wote baba yao ni mmoja na mama yao pia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Jamani sielewi kwani i siku hizi ni mada zenye kuonyesha ubaya wa mwanamke tu ndizo zinazopostiwa sasa najiuliza hivi siye wanawake hatuna jema kwenu nyie akina boss na wengine?

  back to the point, ugomvi unapoingia katika mahusiano waweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na busara,hekima, upendo na akili ya wenzi husika.

  ugomvi unapoingia katika mahusiano ambayo ni ya kutegana like no real love except ni kuviziana tu, what do you expect out of it definately watalipizana visasi na kuonyeshana umwamba na ubabe usiokuwa na tij ana hapa yaweza kuwa ni kwa both patnaz.

  kuna wanawake wengi tu ambao kweli wanazipenda ndoa zao kwa dhat kabisa na unapotokea ugomvi huwa bado haumshawishi kutoka nje ya ndoa yake but jamani kuna wanaume visirani duniani hapa a man can sleep with a woman in the same bed for 4 months bila hata kumgusa, what do you expect? hivi wanamke huyu unategemea asiende kupunguza nyege zake nje? na anapokwenda who is to blame? tena hapo unamkuta mwanamke husika ni mzuri, msafi anatimiza wajibu wake ndani but kila siku analia tu mume akirud ni saaa 8 usiku akiuliza ni ugomvi kwa busara anakaa kimya but uvumilivu pia humshinda jamani.

  sisemi siri to me kama wewe mwanaume ukiniletea za kuleta u house eti unaniacha miez 4 chezeya miye siyo siri natafuta mbadala na mimi kwa raha zangu nikirudi ndani mwepesiiiii nakutizama tu na kila siku unaniona natoka nikiwa nimenoga kuliko kwanza, manina walai
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Billie have you ever seen a mistreated woman? mi nimewashuhudia bana acha kabisa, sitetei kufanya uzinzi but natetea kwa mtu kupata liwazo lake. ofcourse ugomvi wa siku moja hauwez kuleta shida ya kumfanya mtu atoke nje but kuna mazngira kaka yangu, unakuta mama kakaa ndani miez 4 hapewi penzi kila siku baba akirud ni kisirani tu, kachelewa, karudi ,aribu kuuliza hiyo mitusi unaikoga, so njia nzuri ni kwa wewe kukaa pembeni.

  ukaapa pambeni ndipo unapotafuta liwazo sasa you look for a man who can satisfy ur sexual need na kukupa amani and FYI huyu mama kwa kuwa na patna nje na akamudu kupotezea mumewe huwa baada ya muda mue hujirud kwani huanza kuona mkewe ana loose attention kwake na kama huyu mama akajijua na akawa anapendeza sana kimavazi na nywele, na wakati unajipamba usimwombe sh kumi yake mbona unamkomesha? hii ni dawa aisee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...