Nisaidieni kwani simuelewi huyu mwanamke

chen

Member
Feb 12, 2012
64
7
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara kumi nikimwambia niko bize na kazi anasema simjali b'coz ninae mwingine kiukweli siyapati mapenzi yake kwan haipiti siku bila kutofautiana nae.yaan nafikiri hata kuachana nae ila moyo ndo una ni suta kwan nampenda.NISAIDIENI NIFANYE NINI ILI NIENDANE NAE
 
Wewe unafikiri ufanyeje?
Pokea Simu, mwambie nakupenda ila niko busy.
Tengeneza template SMS uwe unazituma every other hour!
 
Wewe unafikiri ufanyeje?
Pokea Simu, mwambie nakupenda ila niko busy.
Tengeneza template SMS uwe unazituma every other hour!

Aisee........au awe ana-edit anazotumiwa na nyumba ndogo na kumfowadia.
 
Huyo anakupenda sana kwani watu wanaopendana huwa hivyo mvumilie tu kwani mapenzi ya mwanzo huwa na wivu sanaa lakini wivu hupungua mkishazoeana cha msingi usimwoneshe kukelwa na tabia yake hiyo.
 
Duh,
Hiyo ni risk lkn; na kwa ubusy wake akijisahau si msala unakuwa mkubwa?

Lakini hata ulilomshauri ni balaa pia..akistukia kwamba meseji anazotumiwa ni za mafungu panachimbika na mtu mwenyewe mshari.

Unaonaje akiamua kumuunganisha kwenye skype, muda wote shostito awe anamuona............Lakini tahadhari ya aina ya kazi yake
 
Mkipendwa mwalalamika,msipopigiwa mnaanza oooh hanijali hata cm mpka mm nimpigie...... acha alinde chake bwana, ana upendo wa kweli.
 
hivi kweli mtoa mada unajua maana ya kupendwa?.............na je unajua thamani ya kupendwa?....................je ulishawah kupenda kwa dhati?.......................je unajua kujitoa kwa mtu akupendaye?....................ulishawah at any point kupoteza upendo kwa mtu uliyempenda ama kwa mtu aliyekupenda?.....sasa tafakari haya kwa undani sana
 
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara kumi nikimwambia niko bize na kazi anasema simjali b'coz ninae mwingine kiukweli siyapati mapenzi yake kwan haipiti siku bila kutofautiana nae.yaan nafikiri hata kuachana nae ila moyo ndo una ni suta kwan nampenda.NISAIDIENI NIFANYE NINI ILI NIENDANE NAE

acha ujinga kaa naye mjadiliane. mbona unakuwa kama pinda anayejifanya liwalo na liwe??
zungumza naye, hiyo ni kitu ndooooogo sana ktk love na si tatizo at all.
mpende anayekupenda ndugu.
 
kaka huyo mwanamke anakupenda tena sana na mimi ilishawahi kutokea mpaka leo bado hiyo hali ya kupigiwa simu na sms kila baada ya dk 10 ni kawaida kwangu na nilikua nachukia sana hiyo hali nilipozoea nikawa naona poa tu na nisipoona simu au sms yake ikipita saa moja huwa najisikia vibaya na nilichoamua nikinunua vocha lets say ya 10000 shilingi 7000 nampunguzia yeye maana namuonea huruma anavyotumia vocha zake kunipigia
 
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara kumi nikimwambia niko bize na kazi anasema simjali b'coz ninae mwingine kiukweli siyapati mapenzi yake kwan haipiti siku bila kutofautiana nae.yaan nafikiri hata kuachana nae ila moyo ndo una ni suta kwan nampenda.NISAIDIENI NIFANYE NINI ILI NIENDANE NAE

Kama unampenda as you say, unashindwa nini na wewe kumcall au kumtext jamani?
 
Jaribu kumuelewa! Jaribu kuonesha ukerwi na call zake
kaa chini mzungumze, anzia na story nyingine alaf babdae ndiyo uingize hiyo story.

Kwa mimi naona anakupenda ndio maana anafanya hivyo!

We unalalamika kupigiwa wakati mi sipigiwi mpaka huwa na jibip mwenyewe.

Kubali kupendwa wewe, hatutaki kuona uzi hapa unasema sikuhizi hanipigii haswa kutoka kwako.
 
Subiri siku atakapoamua kujikausha bila kukupigia siku nzima au hata kwa siku mbili mfululizo ndipo utakapokumbuka hizo simu unazoona zinakusumbua hivi sasa.
 
Mueleze kwa upendo kuwa unampenda lakini uko busy. Huna nafasi ya kupendwa kihiivyo. Kama ana akili kama yangu, utarudi soon kuomba ushauri. Kamsome mwenzio kule hajawahi kutamkiwa 'nakupenda' anahaha, umgawie na yeye kazi awe busy kama wewe!
 
Back
Top Bottom