mapenzi ya wazungu ....mjini dsm

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...
 
Kuwa Mrs white kazi sana hasa kwa hawa wanaokuja hapa TZ labda uende huko huko kwao.
 
za masiku mwenyekiti?? Upo? Umeadimika sana aisee, au ujasiriamali unaku-keep busy sana?
 
Kuwa Mrs white kazi sana hasa kwa hawa wanaokuja hapa TZ labda uende huko huko kwao.
teh yaani Kongosho dearest eti wameishia tu kuachiwa email adress ..wadada wa watu wadhugu bana...eheheee
 
Last edited by a moderator:
Ngojeni tukianza kutajirika na gesi na mafuta watakuwa wao wanatafuta kuoa/kuolewa ili wapate status za kuishi hapa, kama wenzetu (wabeba maboksi) wanaokimbilia kwa wadhungu wanavyofanya.
 
Hao hawakufanikiwa kuwashika vizuri bwana mbona kina koku wanawaweza hao? Basi language ndo ilisababisha waka fail
 
Back
Top Bottom