natamfuta mchumba(kike) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natamfuta mchumba(kike)

Discussion in 'Love Connect' started by bpouz, Jun 25, 2012.

 1. b

  bpouz Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nafafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo
  1.awe na hofu ya mungu mean ana sali
  2.mkristo
  3.awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea(understanding)
  4.good looking chocolate colour au mweupe
  mine nipo pouwa graduate nafanya kazi serikarin sio mrefu wala mfupi mean kat kat na heavy weight yoyote ambaye yupo serious an p.m kama aupo interest potozea
   
 2. N

  Neylu JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Weka mambo yaeleweke...Sio mrefu au mfupi ndio kipimo gani? Wee msomi bwana weka vipimo vinavyoeleweka..Na umri wako je??
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Thread zilizoandikwa weekend utazijua tu.....
   
 4. k

  kazini Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa sio mrefu wala mfupi sijui ndo nn
   
Loading...