Hivi haya maandiko yana maanisha hivi?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Kwenye Biblia,Mw 2:18 imeandikwa;"BWANA Mungu akasema,Si vema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae".Ndipo akamletea wanyama kibao lakini hakuonekana wa kufanana nae,Mw 2:19-20,ndipo Mungu alipomuumba mwanamke kutoka ubavuni mwa Adam. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Hapa nimegundua kuwa,Mwanaume alianza kuhitaji msaidizi wa kawaida lakini ngono sio sababu ya kuumbwa mwanamke.Pili,mwanaume alihitaji kusaidiwa,hii maana yake ni kwamba,Mwanaume kamwe hawezi kutimiza majukumu yake bila mwanamke.Tatu,mwamke aliumbwa kwaajili ya mwanaume,lakini mwanaume hakuumbwa kwaajili ya mwanamke.Nne,kazi iliyomleta au kusababisha mwanamke kuumbwa ni kumsaidia mwanaume tu.Tano,malengo ya uumbaji wa Mungu hayakumhusisha mwanamke,yaani mwanamke yupo duniani si kwaajili ya kutimiza malengo ya uumbaji wa Mungu bali kumsaidia mwanaume kuyatimiza malengo ya Mungu. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Jamani msinirushie mawe,kama Mungu hakumaanisha hivyo leta tafsiri yako,unless uwe huiamini Biblia.Hebu tujadiliane inawezekana nimepotoka!
 
1. 'Narrative' hii imewasilishwa kwa kutumia lugha ya picha.2. Inamaanisha wanadamu wametoka kwa Mungu, ni wamoja na wanategemeana.
 
Mbona yamejielezea vizuri tuu haya maandiko.Soma zaidi maandiko utaelewa na sii kusoma aya moja au mbili.

Hebu tueleze wewe uliesoma aya nyingi,unaelewaje hapo?
 
1. 'Narrative' hii imewasilishwa kwa kutumia lugha ya picha.2. Inamaanisha wanadamu wametoka kwa Mungu, ni wamoja na wanategemeana.

Inawezekana . . . . . . . . . . .
 
Dah, Eiyer umewaza nini?! Japo hapa sina 'baibo' la kiswahili, umenichekesha sana kuwa "Ndipo akamletea wanyama KIBAO.....!!" Hiyo habari ya uumbwaji wa mwanamke na ile ya kudanganywa na 'nyoka' zina maelezo mengi kuhusu nini kilitokea hasa, ambayo mengine ni ya ajabu kweli. Wacha nijaribu kubukua kama nitapata cha kujibu nitaweka mchango wangu hapa na mimi!
 
nadhani mwandishi wa huu uzi alitakata kuonyesha nafasi ya mwanamke, kwa jinsi nilivyomuelewa, 1. hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanamme 2. mwanamke aliletwa kumsaidia mwanaume kutimiza malengo ya mwanaume (purpose ya kuwepo duniani) 4. uwepo wa mwanamke kwa mwanaume is merely for sex.
 
una kitu kizuri ambacho unataka kukito humu jamvini lkn bado haujafunguka usiogope funguka.
 
Dah, Eiyer umewaza nini?! Japo hapa sina 'baibo' la kiswahili, umenichekesha sana kuwa "Ndipo akamletea wanyama KIBAO.....!!" Hiyo habari ya uumbwaji wa mwanamke na ile ya kudanganywa na 'nyoka' zina maelezo mengi kuhusu nini kilitokea hasa, ambayo mengine ni ya ajabu kweli. Wacha nijaribu kubukua kama nitapata cha kujibu nitaweka mchango wangu hapa na mimi!

Suala la nyoka umelitoa wapi?
 
nadhani mwandishi wa huu uzi alitakata kuonyesha nafasi ya mwanamke, kwa jinsi nilivyomuelewa, 1. hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanamme 2. mwanamke aliletwa kumsaidia mwanaume kutimiza malengo ya mwanaume (purpose ya kuwepo duniani) 4. uwepo wa mwanamke kwa mwanaume is merely for sex.

Haya yanaweza kuwa ni mawazo yako!
 
Eiyer , kama kila mtu kaumbiwa wake, mbona mpaka leo ni single.......na kwanin Bikira Maria awe single woman kama alishawekewa mwenzi wake?

Na kwanini Mungu apoteze hesabu ya kuwa wanawake wazidi population ya wanaume, hakujua kama kutasababisha excess supply?
 
Last edited by a moderator:
Madame X,nani amesema kila mtu kaumbiwa wake?Nani amekuambia Bikira Maria ni single?Nani amekuambia kuwa wanawake kuwa wengi ni kupoteza hesabu?
 
Eiyer mdogo wangu wa moyoni, nowadays unakuja na stail za utata utata kweli.

Anyway Mungu alipo muumba Adam alimwona kabisa bado hajakamilika na ndio maana Mungu aliona ni afadhali amfanyie mwenza. Kusudi la mumgu kumuumba mwanamke liko zaid katika ukamilifu wa kiuumbaji kwani vyote alivyokuwa ameviumba vilikuwa vikamilifu katika uumbaji but mwanaume hakuwa hivyo.

Mungu aliona ili huyu mwanamume aweze kuish basi anahaitaj msaidizi kwa kusaidiana naye. ndipo akamtoa mwanamke katika ubavu wake. hapo pia Mungu alijua kabisa lazima perpetuation of life litakuwepo. na baada ya anguko ndipo hili Mungu akalifungua wazi kwa adam na eva. tena Mungu alishasema kuwa kwakua umemsikiliza mwanamke basi tamaa yako itakuwa juu yake ndio maana tamaa za mwanaume yeyote rijali kama wewe ziko kwa mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,wapi ambapo Mungu amesema Adam hakukamilika?Nani amekuambia Adam alikamilishwa na Hawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom