Wema sepetu inatosha ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema sepetu inatosha !

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaNanii, Jun 2, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mimi najiuliza hasa, hiki kizazi cha sasa vipi ? Kwa maana wanauchukulia uchumba kama ni kitu gani ?

  Wewe umeshavishwa pete mara kibao, ndoa hatuioni.Lakini haukomi , bado tu unaendelea na mipete yako !

  Umegeuzwa kama BIG G , yaani mimi nasema inatosha Wema.

  Kumbuka "pete si ndoa" hata huyo nae atakuacha mara utamu wa jojo utakapokwisha !

  View attachment 55255
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hata uchumba unatosha.
   
 3. z

  zilakina JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Jamani Wema na Mwinyi siyo wachumba pale walikuwa wanarecord movie inayohusu maisha ya wema.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  Kongosho nimeipenda hii sana tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wengine huko mtaani wanagongwa kila siku..... Si ajabu wanajaza costa.................... Ila hamuwasemi.....

  Mwacheni, maisha yake, mashine yake na vidole vinavyovaa pete ni vyake...
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kwani sisi kama jamii inatucost nini?let her be ah ah! Njaro ya msee ni njaro ya msee huwezi mzuia.
   
 7. mjomba wa kale

  mjomba wa kale JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii inasababisha watu waone kama mashindano ya urembo ni UMALAYA, haiwezekani aachwe yeye aidhalilishe tasnia ya urembo na sasa BONGO MOVIE na ndio maana kuna msanii ameimba kuwa MAKAHABA wa ukweli kama sijakosea wanapatikana BONGO MOVIE ni aibu kwakweli na sio sifa.
   
 8. J

  JOJEETA Senior Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtoa mada ucpende kuchukulia habari juu juu,hiyo ni muv ya wema wanarekodi wala haihucian na mapenzi ya kweli,pili hata kama ingekua kweli mwacheni maisha yake hayawahusu jamani,tatu kama alivyosema mtu hapo juu huku mtaani wapo wengi tena sana bt kwa kua cio mastaa hakuna media inayowafuatilia.MWACHENI MTOTO WA WATU AFANYE MAISHA YAKE KILA CKU YA WENZENU YENU MTAYASEMA LINI?
   
 9. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tukijadili suala la matumizi sahihi ya rasilimali, Wema anampango mkakati bora:doh:
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,187
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  Chezea wema wewe! :doh:
   
 11. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  I ril love wema's life style.
   
 12. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mweee!!nampenda huyu dada hasa anavyoigiza but hayo mengine mmmmh.!
   
 13. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Ukweli unaumiza sana. Uliyoyaandika ni ukweli mtu. Na siyo tu hao wanaojiuza ila ni watu kabisa na heshima zao na msitazame upande wa wanawake tu na hata wanaume na tena ndo vigogo wakubiligisha na kupamba viburudisho kila aina, na mbaya zaidi hawachagui. Mimi sioni umhimu wa kumnanga sana huyu Wema, ni umaarufu wake ndo unamponza. Majogoo ndo yanamatatizo
  Nakuomba wema upumzike na mapenzi au kama hauwezi tafuta underground uone hawa wataandika nini.
   
 14. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada uwe unahakiki habari ,usipotoshe jamii kama shigongo crew.. Alikuwa anarecord movie yake,coming soon..
  Muwe mnafatilia habari hadi mwisho,huko huko kwenye sources zenu.. Na siyo headings tu,mtaumbuka..
  Hata kama ingekuwa pete kweli,kwani demu wako uyo.. despite, ni maisha yake hayawahuu
   
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh, hajijui masikini men are dogs, wakishamaliza hamu wanamtupa!
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kila mtu na maisha yake mwacheni ajifurahishe.
   
 17. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  mama hapa umetudhalilisha,we're dogs? Even your dady u call him a dog? Hata wewe unalalwa na mbwa'? Vp tena bint make up.
   
 18. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Amesema ataendelea kukusanya za uchumba pete paka zifike 1000.
   
 19. y

  yaliyomo yamo Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me nauliza jojo ndo nin tena mtoa mada?
   
 20. B

  Bwana Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  SIAMINI KWAMBA WEWE ULIYEANZISHA HII POST HUJUI KUWA LIKUWA NARECORD MOVIE. lol.......
   
Loading...