hapa kuna utata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hapa kuna utata

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nambe, Jul 19, 2012.

 1. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mambo mmu,

  jaman kuna ka mkasa kametokea kwa jiran yangu kamenipa maswali kidogo
  Jana jirani yangu ni Mnijeria, ameniita akaanza kulalamika kwamba binti wa kazi kampa mwanae nyonyo, ilikuwaje?? mwanamama huyu alikuwa nje na binti alikuwa ndani na mtoto wa miaka 5, mama akasikia binti na mtoto wanacheka ndani, akaita akamuuliza binti kuna nini, binti  akajibu hakuna kitu. Mara mtoto akatoka akamwa mbie mamake kuwa sada( house girl) amenipa nyonyo, mama akashituka, sasa kwa vile mama yule hajui kiswahli vzur ndio akaniita niongoee na huyo bintie, kumuulza house girl kwa nn kimetokea akaniambia, yy alikuwa ameinama sasa nyoyo ikatoka nje ya blouse mtoto alikuwa chini so akaona ndio akamwambia mama ake lakini yy hakumpa, binti hakuishia hapo, akaniambia huyu mtoto( yaan hako ka boy ka miaka 5) kana tabia mbaya, eti huwa kana tabia ya kumshika makalio halaf kanasema nzuri sana( yaan makalio ya huyo dada ni mazuri sana) akaongeza kuwa kuna siku huyo mtoto alifanya hivyo mbele ya baba ake, na baba ake akacheka tu.Hapo maswali yakanijia nan anasema ukweli?? kama kweli huyu dada alimpa mtoto chuchuchu yake alikuwa namaanisha nn haswa, au alikuwa anataka nn??, na huyu mtoto kunani kumshika housegirl wowowo na kusema nzuri sana?? na baba mtt nae vp kuchekelea mwanae kumshika dada bambataa,???

  hapa pana utata
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli kuna utata ngoja yaje manguli yadadavue
   
 3. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umeona eeeh, hawa wadada wa kazi saa zingine wana mambo ila kali zaidi ni ya haka ka boy ka miaka miaka 5 kanakosifia bambataaa, mweh
   
 4. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapo pagumu Nambe.......Malezi sio kitu cha kuchezea kama kweli wazazi walimuona mtoto akishika makalio ya dada badala ya kumuonya wakacheka sishangai dada kufikia hatua ya kupeana nyonyo na wengi wa mahousigirl wanakuwaga hawajakomaa akili usipokuwa makini mzazi lazima utengeneze tatizo.

  Mambo mengi huwa hayaanzi hivi hivi huwa kunakuwaga na signs ndogo ndogo ambazo kama wazazi we tend to ignore mpaka linapokuwa jipu ndio tunatoa macho kama ni kitu cha kushtukiza.
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya ujue kaliwa:
  huyo house girl ana liwa na baba mwenye nyumba!

  Huyo mtoto nae akikuwa kama ni wa kiume lazima ale mzigo!

  Sasa house girl ana makalio mazuri umenistua sana!
   
 6. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  well said my dear, manake huyu baba ndio nimeshindwa mie kumuelewa alikuwa anamaanisha nn hasa kuchekelea hcho alichokifanya mwanae, naamin huyu mtoto mdogo hvi huwa anaona maongez na vtendo vya wazaz wake na ndio maana na yy anaaply kwa house girl........
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapa kweli kuna utata,kwa haraka haraka, uchunguzi uanzie kwa baba,huyo H/G na huyo mtoto.Kuna kitu hawa watu wanajua.Ngoja waje watalaam zaidi
   
 8. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kweli, baba mwenye nyumba hajatulia sana so cntashangaa kama anammega house girl, ila sioni hyo kama ni sabab ya yy kufurahia kitendo cha mwanae kucheezea makalio ya dada huyo, na tena kucoment kuwa ni mazur, haka katoto kamejuaje kama hayo makalio ni mazuri??
  hahahaaaa,,,kwa mtizamo wa katoto ni mazur cjui kwako kama ingekuwa kama yy

   
 9. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tatzo mie baaada ya kuongea na house girl nimeshindwa kumueleza hayo huyu mwanamke mwenzangu, nimeogopa kuleta ugomvi kwenye ndoa ya wenyewe, ingawa nilikashaur kawe kanamwambia hy mama kama mtoto akifanya hvyo coz yule mama anaamin mwanae malaika na bint wa watu ndio pepo,
  pagumu hapo
   
 10. d

  designer spenko Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu kumchunguza mtt utajua tu mtt wa miaka mitano hawezikukuzidi akili
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Nambe naomba nikuambie kwamba huyu baba na h/g wanamahusiano na wakifanya hayo huwa wanafanya mbee aya huyo mtoto wa miaka 5 na mtoto anataka kufanya kama baba anvyomfanyia dada ndio maana anamshika ****** na kutaka chuchu anyonye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Umefanya vizuri kutomwambia huyo mama,kama kuna mchezo mchafu unaoendelea hapo ipo siku mambo yatakuwa hadharani, ni suala la muda tu.
   
 13. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatzo ni kuwa huyu mama cjui ni kwa sabab ipi anamwamin sana mwanae, kwa hyo anamlaumu huyu mdada bla kujua kuwa mwanae anaweza akawa tatizo pia, kwa maelezo ya binti inawezekana kabisa kuwa mtoto alim-misunderstand ila mama huyu wa kinaijeria haelewi hlo....
   
 14. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uwezekano huo ni mkubwa sana, ila kinachoniudhi na kunishangaza mie ni hcho cha baba huyu kuchekelea tukio la mwanae kuchezea bambataa la mdada wa watu, naona ajab sana kwa mzaz kufurahishwa na hlo......
   
 15. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  naamin hivyo pia kwan za mwiz ni arobain, nimemshaur tu awe amchunguze huyu binti kwa kumfuatilia anapokuwa nyumban ili apate ukweli kuhusu tukio hl au mengine kama yapo
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  iko hivi huyu baba ni mongoni mwa wababa ambao huwa wafanyapo ufirauni basi huona sifa hata watto wao wakiona na hawaoni haya katika hilo ao wanachukulia kama kumfundisha mtoto kuwa mtundu tena mwingine utakuta anasema kabisa mtoto mtundu huyu huku anacheka
   
 17. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mibaba mingine nuksi kweli jaman kha,
   
 18. lindz

  lindz Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakuwa huyo mbaba anamwambiaga mke wake ana makalio mazuri mbele ya mtoto AU
  baba anamshika na kumwambiaga huyo h/girl ana bambataa nzur
  mwe mwe mwe mwe,mburaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 19. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  naamin pia kuwa huyo baba huwa anafanya hvyo mbele ya mtoto wangu, bt kitendo cha yy kufurahia mwanae kufanya hvyo ndio kilichoniacha hoi,
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mtoto wa kiume akionyesha urijali huwa anasifiwa kwahiyo sio ajabu dada wa kazi akawa anasema kweli kuwa mzee huchekelea kitendo cha mwanae hata kama hana mahusiano na huyo dada.

  Kuhusu nyonyo siku hizi nasikia wadada wa kazi huwa wanawatumia watoto wanaowaangalia kujiridhisha kingono. Nilishasikia mmoja alimfundisha mtoto kumnyonya sehemu zake za siri kwahiyo inawezekana huyu nae alikua tu kwenye harakati za kujiridhisha kimwili na sio vinginevyo.

  Huyo mama akae chini na mwanae pekee amhoji kuhusu huyo dada na mambo ambayo huwa wana/anafanya wakiwa wenyewe nyumbani. Ni ngumu sana kwa mtoto wa miaka mitano kuwa muongo kiasi cha kuweza kutunga story nzima kwahiyo kama kuna tatizo kwa huyo dada iwe na baba mtu au na mtoto atajua tu. Na ajifunze kuwa karibu na mwanae kimalezi na kimaongezi, sio anamwachia kila kitu dada wa kazi mpaka mambo ya ajabu ajabu yatokee humo humo ndani kwake na yeye apitwe.
   
Loading...