Natafuta rafiki wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta rafiki wa kike

Discussion in 'Love Connect' started by ISMAILI, Jul 19, 2012.

 1. I

  ISMAILI Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka yangu ni kati ya 20-27 natafuta rafiki msichanana kati ya miaka 18-20 awe anasoma.tuwasiliane 0717403425
   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kazi kweli kweli..narudi.
   
 3. Emasaku

  Emasaku Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh!! Unamiaka kati ya 20-27?!?!

  umepoteza kumbukumbu nini?
   
 4. I

  ISMAILI Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww tu nakichwa chako kigumu ndo hujaelewa
   
 5. l

  luku_77 Senior Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah hivi ni kweli ninacho kisoma hapa? nahisi huelewi unacho taka! unataka mchumba au mke? au mwana funzi? jamani nahisi ukurasa huu umevamiwa na wasiojuwa maana halisi ya ukurasa huu. waachieni wahusika naningependa ukurasa huu uheshimike na ubakie na hazi yake.
   
Loading...