natafuta mchumba wa kuowa

luku_77

Senior Member
Jul 3, 2012
176
19
habari za hapa JF mimi ni mgeni hapa ila nigependa nikaribiswe na mtu abae na namtafuta kwa mda sasa sifanyi uta nimezaliwa tarehe 21_12_1977 ninaemtaka awe hivi awe kuazia miaka 20-30 kama amewahi kupata mtoto sio zaidi ya 1 awe mwenye kujiheshim. kama unahisi unasifa hizo karibu. mimi nina watoto 2 nawapenda sana na wanahitaji mapenzi ya upande wa pili yani mama. e-mail ni lukuman1127@hotmail.com. 0786929418 angalizo jiulize mala 3 unachotaka kufanya ni waamzi kutoka moyoni? ikiwa ndio "karibuni.
 
Hii thread pahala pake ni 'love connect',kuna watu kibao huko wanatafuta wenza.
Best wishes.
 
swali zuri sana ni mwanamke only!...!....!

jamani naludia kusema tafadhali mimi sipo hapa kutafuta marafiki. jamani nataka MKE yani sio utani na wala sitaki kucheza na mtu yoyote kama unahisi unataka kucheza na mimi nishatoka huko miaka mingi. please ambae yuko kiukweli namkaribisha.....hii ni picha yangu halisi. nawatakia siku njema.
 
nawashukuru wote ambao wametoa maoni yao na kunikosoa au kunishauri asanteni wote. bila nyinyi siwezi kujuwa wapi nimepungukiwa. nawapenda wote.! na mungu awalinde daima.
 
pia napenda kuwashukuru hapa jamiiforum mmenipokea vizuri sana siwezi kuwataja kwa majina yenu ila kwapamoja asanteni sana kwa ukarim wenu. naahidi nitamtangaza mke au mchumba nitakae mpata kupitia hapa na kuwaalika harusi wana Jamiiforum wote. namalizia kusema naheshim mawazo yenu na nitaendelea kuyaheshim. INAWEZEKANA UKIWA NA IMANI NA UNACHO HITAJI POPOTE WAPO HATA HUMU WAMO IN GOD I TRUST.
 
jamani nazidi kutoa nafasi zaid, tulio wasiliana nawashukuru sana sinachuki nanyi wala kuwazarau! ushauri wenu ni darasa kwangu mungu awalinde daima.
 
Back
Top Bottom