Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

Sipendi anifiche kitu.........
Sipendi vyakwetu awaambie wengine............vyakwetu vbaki vyetu
 
sipendi.....sipendi.....sipendi..ah sijui kitu gani sipendi kwa mke wangu!ok sipendi jinsi asivyo na kitu chochote ambacho sikipendi!
 
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
 
njoo niumwagie moyo wako maji ya baridi upoe.
 
Siau kunigeneralize na watu wengine wakati kosa linapottokea sipendi kabisagubu,kununa nuna,kiburi,sipendi kabisa sipendi kufananishwa au kulinganishwa na mtu yyte au
 
sipendi mpenzi wangu awe ha reason kuhusu chochote kinachosababisha ugomvi kati yetu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom