Nakupenda lakini sikupi mwili wangu hadi unioe.

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?

Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.

Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.

Nawasilisha!!!!!!!
 
Cha msingi sio mikasi japo inaumuhimu wake katika kukoleza penzi. Cha muhimu hapo ni je anakupenda? Kama unakiri anakupenda sasa unashindwa nini kusubiri?
 
kwani wewe una mpango gani naye? au uliingia kwa gia ya kumuoa wakati in actual fact unataka umege tu halafu usepe?
 
Mwanamke ambaye anafikia mpaa kusema yeye hana bikra, ujuwe kisha kupa green light nikiasi cha kuendelaza maombi tu utapewa.

Wangapi hawana bikra lakini hawawezi kusema hayo.
 
Naona mistari yako haijamuingia huyu mdada,chamsingi jipange au songa mbele kutafuta huyo keshokujua kamba zako.
 
Mwanamke ambae una mpango wa kumwoa unashindwa kumshawishi akupe? That's bigest weakenes! That means, mpaka sasa hujaweza kumfanya akuamini! Jipange upya!
 
kimbia kimbia , yaani ukiona anaujasiri wa kusema hapana kwako, ujue kwa mwingine anavua Chupi bia hata kuombwa, wanawake wasanii yaani kama machinga vile, akikuona wewe dhaifu anaku treat that way , angekuwa bikra labda, ila chombo imetumika alafu bado analeta ngumu , Aiseee hiyo haikubaliki kabisa, mzeee kama akigoma kabisa bora uangalie ustarabu wako sehemu nyingine
 
Mkuu tafwazariiiiii..... wanasheria wanasema hivi.... A BUYER MUST BE AWARE. kwa hali ya sasa huwezi kuingia mkenge kuoa mtu bila kujaribu kujua kunanini..! Vinginevyo labda kama una risk take mwisho wa siku ukute mbichi au mbivu mkuu. Mbona wengine huwa wanazikimbia kwa kutoamini walichokikuta ni bora ujue mapema kabla hujaingia mkenge mkuu.
 
kuoana vs kuingiliana b4 ndoa. two terms that are negatively correlated. FACT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom