Hii inashangaza kwelikweli........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inashangaza kwelikweli........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nakapanya, Jul 19, 2012.

 1. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Hivi inakuaje kijana wa kiume ulikuwa na mahusiano na msichana fulani baadae unamucha tena kwa kejeli nyingi,baada ya kuona dada wa watu kapata jamaa mwingine anayemjali na kumpenda unaanza kuingilia kati kwa kumtusi msichana huyo na mpenzi wake mpya,hii tabia yaonyesha kwanza hujiamini na ni limbukeni kabisaaaa....
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kweli huo ni ulimbukeni, karoho kana muuma akikumbuka utamu wa pipi aliyoitema.
   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikae kimyaaaaaaaa! Yashanikuta hayo! Lol, jamani ukiachwa kubali matokeo, khaaaaaaa!
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hapa mkuu naona sio ushauri unaomba.. ni message una deliver, hopefully mhusika ujumbe umemfikia...
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yanekukuta nini
   
 6. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ujaua neno Mapenzi nkitu kikubwa sana tena kwa mtu ambaye umeachana naye lakini ukiwa unampenda inawia vigumu kuona anampenda MtuMwingine.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Da mbona kama umegonga ikulu?
   
 8. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Wewe kwanini unabadilsha badilisha wanaume hivyo ukiachwa na wa kwanza si utulie uendelee na masomo yako ama nini una miss?
  Hhahahahahahhahaa.
   
 9. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  afu watu wa namna hiyo wanaboa kinyama,kama bado unampenda kwann ulimuacha?
   
 10. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  wanaona wivu wengine wakishajiweka na kuinjoi raha za dunia
   
 11. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  hahahaa....u a ol ryt
   
 12. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  mambo kama haya ndio yanapelekeaga watu kuwa na uhasama wa kijinga na usio na manufaaa kabisaaa
   
 13. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  na wewe huwa na hizo tabia nn braa
   
 14. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  sasa kwann umuache wakati bado unampenda tena unamucha kwa mi kashfa kibao,je kweli huo ni upendo kweli?
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  pole mwaya,ndio ujifunze next unapembua huyo mtu unayetaka kuwa naye kny mahusiano,kama kakaa kisharobalo unampotezea,
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  ushamba tu hakuna cha zaidi....
   
 17. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  duuh naona umenipa jinsia ya kike wakti si hivyo,na pia umenirudisha shuleni ilhali mimi si mwanafunzi.ipo hivi bra;yani kijana unamuacha girl wako then baadae baada ya kuona yupo na mtu mwingine unaanza kutuma sms za matusi kwa huyo girl pamoja na mshkaji wake mpya,nadahi umenielewa!
   
 18. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  kabisa,wao huwa wantaka akiacha msichana abaki hivihivi,that's not fair at all
   
 19. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Naomba nifafanue kidogo naona watu wanadhani mimi ni msichana;
  ipo hivi,mimi ni kijana wa kiume,few months ago nilipata nafasi ya kuwa na mpenzi mpya wa kike mabaye baada ya kuwa naye kwenye mahusiano kwa muda akanielezea histoeia yake ya kimapenzi ikiwemo ya kuumizwa katika mpaenzi.Alinisimulia juu ya mahusiano yake ya mwisho kabla ya kuwa na mimi kwamba alikuwa na jamaa ambye alimpenda kweli,baadaye jamaa akapata msichana mwingine,akaanza kumfanyia vituko mbalimbali hatimaye akamuacha kwa maneno kibao na ya kufedhehesha,binti akaamua kupoakea hali hiyo na kumuacha jamaa aende zake.Sas kazi imekuja jamaa baada ya kuona mi nimempata huyu binti na tunapendana(napenda niseme kuwa simfahamu huyu jamaa wala sijawahi kumuona) ameanza kutuma meseji za matusi kwangu mimi na kwa yule demu,sasa hapo ndipo ninapopata shida,mi sipendi malumbano hasa ya kimapenzi,ila nadahni ile Thread ya POWER OF LETTING GO inahusika sana.nadhani nimeeleweka.
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  mpotezeeni tu akiona hamuhangaiki nae mwenyewe atatulia!
   
Loading...