Siku hizi kuna hali ambayo nimeibuka na kushika kasi mara mwanamke anapopata mimba , kama alikua hajavalishwa pete anavalishwa pete na kinachofatia ni kutangaza ndoa, imekua ni kawaida kwa bibi...
Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia...
Asalam aleykum........wadau na wapenzi wa MMU.
Leo ikiwa ni siku nzuri tumeanza mfungo wa mwez ramadhani basi tumwombe Mungu atufanyie wepesi na atusamehe dhambi zetu zote ndogo kwa kubwa...
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia...
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii...
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na...
Hivi wanaume wanaaomba penzi na kukataliwa kisha kuchukua uamuzi wa kumtafuta mtu ambaye ni mpenzi wako na kumpiga mkwara kwamba achana na binti/mwanamke fulani kwani ni demu wangu wanakauwawaga...
Poleni na mfungo kwa wale waislam!
WanaJamvi..ni kawaida katika Mahusiano ya Mapenzi kuwa na rabsha za hapa na pale. Na mara nyngi rabsha hizi huwa zinatokana na hisia za uwepo wa udanganyifu...
Upweke umenichosha waungwana. Natafuta mpenzi. Awe msichana asiyezidi miaka 27. Cjali sura, ila ni mapenz ya dhat tu. Ukitaka kunijua 0718-651585. I need to be a man and not a boy. Any girl to...
KUWA na fedha au elimu zaidi ya mwenzi wako, sio tiketi ya kumfanya asiwe na raha kama ambavyo wamekuwa wakifanya baadhi ya watu.
Wala kutokuwa na fedha au elimu ama umaarufu haina maana kwamba...
Unakuja asubuhi mapemaa tena wikend. Umelala kwa mapumziko ya hekaheka za Ijumaa usiku halafu mtu anakugongea na kuanza kukupigisha story nyiingi zisizo na kichwa wala mguu!!! Hata kama mapenzi...
maana mwana mke akiwa na umbo namba nane watu husifu sana. pia kilichonisukuma zaidi niiulize jamiiforums nilipanga tarehe 16 mwezi 8 nimvishe pete mchuba marafiki zangu wakasema sio siku nzuri...
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa...
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni...
wanaJF habari...
jana nimekaa na wadau wangu tukitafakari hili na lile..ikiwa ni pamoja namajanga yanayoendelea kuangamiza watu kila kukicha.....lakini maisha lazima yaendelee...watu lazima...
Katika hali inaonesha kutolidhika na pingamizi aliloweka mwaka 2010 dhidi ya Dr Slaa kumchukulia mke wake
Mr Aminiel Mahimbo akiongea na gazeti la Rai amesema anapeleka pingamizi kwa Pengo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.