How to beat Your Wife | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to beat Your Wife

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, May 10, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimekutana na hii Clip nimecheka sana!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!!! Lol Masanilo bana umeniacha hoi sijui umeitoa wapi hii
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kaka ninacheka kila nikikumbuka jamaa anavyosisitiza....hii dunia acha tu!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duniani kuna mambo kila nikirudia kuiangalia nawaza sana nasema hivi huyu jamaa amewaweka wanawake katika rank gani
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nimerudia kuangalia jinsi anavyosisitiza nimeishia kucheka tu, hii dunia hii lol
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha dah huyo ni Sheikh wa msikiti gani?
   
 7. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Shekh nilichomfurahia zaidi ni msisitizo wa RUKSA YA KUCHAPA MKE INAPATIKANA WAKATI GANI??Ukinyomwa muziki tuuu WIFE lazima apate mkong'oto; anategemea niende wapi??? Hakika duniani kuna mambo:)
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Eti unaruhusiwa kumdunda waifu akikunyima tu, baaaaaaaasi
  Tena bila kuinua mkono juu, bila kumfanya akose raha na tena isiwe kichwani. Its Forbidden!!!!!
  Nje na hapo, HURUHUSIWI HATA KUMTISHA . . . achilia mbali kumpiga kabisa.
  Mtangazaji amebaki ameduwaa tu, haamini!!!!!!!!!!!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huku Zenj babu!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu kuna mambo mengine siyo ya kucheka ila mtu hauna jinsi kicheko kinakuja chenyewe basi ndio huyu Sheikh ameniacha hoi
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa hamnazo kabisa!
   
 12. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahha sio unampiga mpaka her face turns ugly nimeipenda,wanaelewa kuwa sie ni delicate hatutakiwi kushindiliwa mangumi ila duh,kisa sex???????ndio unipige......????,,,,,natamani kuona wale mafemale activists watasema nini kuhusu hili lol
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Naaam, naam.
  Darsa zuri sana. Mwenye masikio na asikie,
  na mwenye akili na aitumie.
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Na mwanaume akimnyima mwanamke afanywaje
   
 15. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mpige,:happy:
  kama una ubavu lakini...:happy:
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mimi sijaelewa kitu,

  Huyu Shekh analo lake jambo. Utamfunzaje adabu mtu mzima, tena adabu ambayo hakufundishwa na wazazi wake?
   
 17. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  yaani ukinipiga kesho tena nakunyima
   
 18. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  ni bora uondoke kabla hujawa na ngeu,............ sijui nimepatia kinachoongelewa hapa maana duh! utu-uzima tena mmmh!
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...tatizo ni kwakuwa shehe kasema?

  ...nawashauri mumsikilize tena kwa makini, mtafakari na muelewe, (unless tatizo
  litakuwa lugha.)

  Shehe kwenye ufafanuzi wake amesema mke hapigwi!
  (mume) Ataruhusiwa kupiga (as a last resort!) baada ya kumkanya, kumuonya, na kumtishia
  pale tu mke atapomnyima unyumba (waliopo kwenye ndoa mnajua sio ajabu kunyimana unyumba)

  fikiria Kupiga bila kupitiliza, kuumiza au kutoa alama, kuna maana gani kisha tujadili.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :boink::boink::boink:
  :A S 114::A S 114::A S 114:
  Hahaha wewe umemaliza kila kitu lol
   
Loading...