Anatafutwa mchumba mwanamume mtu mzima, kwa maana ya maturity. mtafutaji ni dada yangu ni mjane mkristo ana umri wa miaka 55 na watoto wawili. Ni mkulima mjasiriamali. Ni mcheshi na mcha Mungu...
je umewahi kumwelewa mwanamke kitu anamaanisa anapoongea?
je huwa wanamaanisha wanchoongea?
Nimejaribu sana kuelewa kitu wanawake wanaongea na wanachomaanisha nimekuja kugundua ni ngumu sana...
ni baba yangu, ni mtoto wake wa nje, aliponipa jina la JOSEPH alihamishwa kikazi (alikuwa mkuu wa kituo cha polisi HIMO mwishon mwa mwaka 1979). Ila nasikia alihamishiwa TAZARA. Baadae ndo...
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au...
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kila msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni...
Hivi ni umri gani mtu atakoma kuamkia amkio la shikamoo? Utaona mtu mzima yuko kwenye 50s bado anarusha shikamoo kwa watu ambao kwakeli hapishani sana nao.Au ndiyo hawa wamepewa roho ya ujana hata...
Habari zenu jamani?
Mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana (kwa mujibu wa mdomo wake)
Sasa tatizo ni kwamba anapenda sana kukaa na kupiga story na wanaume.
Niliwahi...
WHEN A WOMAN OPEN HER BODY TO A MEN THE MEN IS CURSED SEX AND LOVE ARE PURELY 100% UNRELATED. LOVE FOR THE HEART SEX FOR THE BODY.
from my book coming soon long walk to real love
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane...
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana...
habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda...
Ilikuwa ni mwaka 1999 baada ya kuwa nimetumikia shirika la umma kwa takribani miaka 20 nilijikuta nikiwa miongoni mwa wafanyakazi 70 wa shirika hilo tuliotupwa nje ya ajira kwa kile kilichoitwa...
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za...