Angalizo kwenu . . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kwenu . . .

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jul 23, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au unaogopa maradhi,au una mke/mume au unaogopa macho ya watu,hizi ni sababu nyepesi sana zina muda. . . . . . . . . . . . . . . . ,. . . Siku matarajio au sababu yako ikikosa mashiko unaweza kujiona mjinga na huna maana.Mfano;unapofanya uaminifu kwa sababu ya maradhi,je ikipatikana dawa ya maradhi hayo?Uaminifu wako si utafikia kikomo? . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Fanya au kuwa mwaminifu kwa sababu ni ubinadamu,uzinzi au kuwa na wanawake/wanaume wengi ni kinyume na ubinadamu,yaani ni tabia ya wanyama wasiofikiri!
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Hapa umenena vema sababu wengi wetu tuna kuwa waaminifu kwa sababu ulizo zitaja.

  Pengine huu ni huite uaminifu wa kinafiki.

  Utasikia mtu anasema nimea mua kutulia na mke wangu sababu maradhi mengi.
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umenena vema!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ukiamini hivyo basi usijaribu hata sex kabla ya ndoa..

  dhambi zote ni sawa au sio?
   
 5. mito

  mito JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,610
  Likes Received: 1,983
  Trophy Points: 280
  Pamoja na ulizozitaja, mi namuogopa Mungu zaidi (naogopa kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu)
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  For your information Eiyer ni bikra wa kiume kabisa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  he pretend to be.....
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  The Boss,yes una weza usijaribu,lakini kwanini ni kosa kufanya ngono kabla ya ndoa?Ndoa nini? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Pamoja na hayo mi sijasema uwe mwaminifu kwa mtazamo wa kidini!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unakubaliana na baadhi ya wachimvi humu jamvini kwamba post zake ni mitego, na kwamba hata Kaunga bila kujua alinasa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Are u sure? . . . . . . . . . . .
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Namtega nani?Ndo maana charminglady alikupiga chini!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  nje ya mtazamo wa kidini
  ndo upi huo?
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Siku uoga ukiisha hautakamatika!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Soma paragraph ya mwisho kwenye thread!
   
 15. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,262
  Trophy Points: 280

  Ni sawa na kuamua kuacha kukata monde kwa kuwa tu uchumi umeyumba. Man, utarudi tu!!
   
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Nilimpiga chini ila sasa hivi ni rafiki na am sori am sori nyiingi.......Ila mitego yako wamestukia sema Kaunga kama kipofu ila iko siku ataona........... The Boss mnoko!!!! eeh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unajichanganya naona
  wewe huna haki ya kumuita mtu mwingine mjinga
  au anakosea kwa vigezo vyako wewe

  bora wanaoutumia vigezo vya dini wanaeleweka
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Umeonaeeeeh. . . . . . . . . . . .!
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hata Kaunga kashashtuka...he is too good to be true,too rightful...too saint....lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. D

  Doc Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na ubinadamu(utu) ukikutoka je?.....
   
Loading...