Can men ever just be friends with women

haifai kabisa....tena wanaume walitakiwa waishi peke yao sayari nyingine....kwanza waondoke....
 
yes inawezekana ila under one condition...limit the time they spend together na pia wawe wanakutana kwenye makundi sio wakiwa wao tuu
 
Honestly speaking sijui kama inawezekana....Binafsi mimi naweza kuwa rafiki wa kawaida sana( sio close kivile) wa msichana na sio best friend. Mi best wangu mke wangu tu. Na wala sipendi kuwa na rafiki wa kike sema haiepukiki.
 
haifai kabisa....tena wanaume walitakiwa waishi peke yao sayari nyingine....kwanza waondoke....

ha ha ha nimeipenda hii kweli waondoke kabisa looooooo!!!!!!!

Ladies Ladies, calm down - don't start your drama here...We all suffer from the conflicts of sexual preferences...Its part of life so just be careful and learn to be responsible in your decisions.
 
Mh, ni bora usijaribu aisee yaweza kukukuta makubwa! Nilikuwa nina rafiki wa kiume just a friend na sikuwa na feelings zozote na yeye na nilijua hata yeye pia alikuwa hafeel kitu. Cha ajabu he went on telling people that im his girlfriend, khaaa! Nilimpotezea vibaya and nowadays hata salamu simpi, looh!
 
Hakuna kitu kinachoitwa urafiki kati ya kijana wa kiume na wa kike, ila kuna mahusiano tu. Mahusiano yanaweza kuwa kaka na dada wa kuzaliwa, au wanandoa. Wenye mahusiano ndio wanaweza kuwa marafiki tena haswa wanandoa. ndio maana wanasema urafiki washinda undugu. Wanandoa wakiwa marafiki hata aje ndugu wa aina gani hawezi kuwatenganisha au kuwavuruga.
 
watu wa jinsia moja huwa pia si marafiki bali ni partiners[Washirika] Warafiki ni watu wanaoaminiana na kushirikishana kila kitu ambacho wanaojiita marafiki hivi sasa huwa hawafanyi
 
mwehhhh siku hizi kuna vifaa vina fanya kazi kuliko huo mtwangio wa wanume :second:

Vifaa vipo, ila hakuna kifaa kinachoweza kum-replace mwanadamu, kwanza mashine hazina mikonooooo..... Raha ya ile kitu shurti u:censored: ndo n:censored:!!!!!
 
Mimi siamini kama mwanaume anaweza kua rafiki na mwanamke...Labda uwe ni ile ya mkikutana barabarani au dukani mnasalimiana sawa lakini eti urafiki wa kupigiana simu sijui weekend kutoka pamoja aah wapi there's no such a thing na leo hii kama mpenzi wako anakuambia ana rafiki wa karibu opposite sex wa kukutana wkend au kwenda lunch ujue unaibiwa
 
Back
Top Bottom