AMFUMA MKEWE AKIZINI NA MTOTO WAO, AWAUA
AMA kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Msemo huu unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mkazi mmoja wa Kijiji cha Nghoboko wilayani...
LOVE is the strange bewilderment which overtakes one person on account of another person and LOVE can't endure indifference.it needs to be wanted.like a lamp,it needs to be fed out of the oil of...
.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia
Ni mwaka 2011 kuna rafiki yangu niliefahamiana wakati nilipoenda Kigoma. Baada ya kusita kwingi akanihadithia kisa chake kinachomsononesha mpaka leo.
Aliishi na mke wake kwa muda wa miaka 3 na...
Kuna njia mpya inatumiwa na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotumiwa pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu...
Habari zenu wadau? Poleni na mihangaiko ya kimaisha!
Wadau, wiki jana nilikuja na mada hapa jamvini kuwa mchumba angu hataki kutoa kitu hadi siku nikimwoa.
Lakini nimegundua kuwa anaendelea...
Imemkuta jamaa yangu juzi. Alimuona dada mmoja jana maeneo ya fire anasubiri usafiri wakati anamuacha mshokaji wa ofisini pale. Yule dada alimfata na kumuomba msaada kwa madai kuwa anashuka...
mimi idukilo natafuta mchumba wa kuowa ,awe na sifa zifuatazo
1) mmcha mungu
2) awe na elimu kuanzia kidato cha nne
3) awe na urefu usizidi 165cm
4) asiwe mnene sana au mwembamba sana,awe size ya...
Nazungumzia kuingia kwenye penzi kwa mara ya kwanza halafu ukapenda kikwelikweli.
Ilinitokea tena nikiwa na miaka 18..nilimpenda sana huyu binti, sidhani kama kuna saa ilipita bila...
Habari zenu wakubwa ... nina swali moja dogo tu la kuchangamsha ubongo na kujua maoni yenu kwani kuna maamuzi magumu yanatakiwa yachukuliwe ..
My question simply is -
In your hand is a box full...
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
seriously, natamani kuwa na mtu anipendae nami nimpende tusogeze maisha. Am 32 By age nina one kid. any who is above my age ur invited mie ni mkristo mwenye mtoto utapewa kipaumbele. Kwa wale...
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi...
Hi
Jamani mi natafuta binti just for pleasure labda mambo mengine baadae
alie tayari ani pm
tuwasiliane lakini asizidi 27years
looking forward for ur response.
Mimi niko wastani tu.
Onyesha unampenda mwenzio hadharani (watu waone). Msijifichefiche. Mfano utakuta wanandoa wanapoongozana mume au mke katangulia mbele kama mita 5, hii si nzuri kabisa kwa afya ya ndoa.
Wanabodi mnisaidie....!kuna dada mmoja niko nae katika mahusiano sasa inafikia mwezi..huyo dada ana mtoto mmoja amezaa na kaka mmoja yupo mkoani..ila tokea alivyo mbebesha mimba jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.