Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwa nini wanawake (watu wazima) wasio olewa wanamaamuzi ya kibabe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jaridotcom2, Jul 27, 2012.

 1. j

  jaridotcom2 Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 2,858
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Anna Makinda pekee si kioo cha tabia za wanawake ambao hawajaolewa... Hivyo basi, ilikuqualify hoja yako, ingekuwa vema ukaja na data/takwimu wakilishi.
   
 3. mito

  mito JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6,958
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Anna Makinda anaongozwa na sheria za bunge mkuu, wala siyo ubabe!

  Toa mfano mwingine tukusome vizuri
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 39,775
  Likes Received: 6,510
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio sababu yakuto olewa.
   
 5. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,761
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  We nae bana, kwa ni we unadhani ni kwa nini kama umeobserve hivyo?
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,761
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Nilijua tu jibu kama hili halitokosekana!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,945
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  au ni menopouse....?
   
 8. j

  jaridotcom2 Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sawa najua Anna makinda sio kioo lakini nimetoa kama mfano ila nilishawaona wengi sana wa namna hiyo lakini nimeamua kutoa mfano kwa Makinda maana yeye anafahamika na wengi so nipe sababu sasa nazani umenielewa
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ubabe kama vipi?
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Huyu mama bwana si alitengana na bwanake, haimaanishi kuwa haolewa.
   
 11. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaume tunaoa wanawake wenye tabia zakike na sio za kiume
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,316
  Trophy Points: 280
  They learn how to stand up for themselves. So ile missing link wana-create bridge ya ubabe.
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,285
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Njoo uchukue pipi! Nilihisi umetumia akili yangu kumbe yako tu!!!!! Umejib vizuri King'asti wangu!
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,293
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Mwanamke yeyote wa heshima lazima awe na mume..ukiona mwanamke hajaolewa ujue ana tatizo na hilo analihamishia kwenye jamii anakua shida kweli kweli
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,143
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 145
  wamezoea kufanya maamuzi magumu inapowalazimu.
   
 16. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 9,741
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Hawana uhakika na pa kupunguzia stress. Lol.
   
 17. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,764
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkubwa; ebu leta mifano hai kama miwili au mitatu hivi, ili tuweze kuamini usemalo!
   
 18. j

  jaridotcom2 Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama hutaki kuamini kakojoe ulale maana inavyoelekea hujatembea ukaona maana hata nikikutajia watu ninaokaa nao huwezi kuwajua
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 9,741
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Anataka umtajie watu maharufu maana majirani zako hawezi kuwajua. Watu kama Condoleezza Rice. Lol.

   
 20. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yaaani sana mkuu 100%
   
Loading...