Kwa wanaume

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
je umewahi kumwelewa mwanamke kitu anamaanisa anapoongea?
je huwa wanamaanisha wanchoongea?
Nimejaribu sana kuelewa kitu wanawake wanaongea na wanachomaanisha nimekuja kugundua ni ngumu sana kumwelewa mwanamke.
wenzangu kama munawaelewa hawa viumbe nijuzeni
 
Ndiyo nimewahi!
Huwa na jaribu kuwaelewa sababu mara nyingi wana maanisha wanacho ongea!
 
That speaks to the fact that as a category, women ar unique biologically,physically, psychologically and emotionally. The last accounts for the situation you describe above.
 
kutawaliwa na hata kuzidiwa na Hisia
alimradi kuwa Huru,huishia kusema chochote
 
Women r from venus and men from Mars,they emotional and men r rational,that's why it is wat it is!
 
Sasa utawaelewa vipi na wakati wewe mwenyewe hueleweki??aaarrgghhh!
 
Back
Top Bottom