Hivi kosa langu liko wapi hapa wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wakuu!ebana,juzi nilikua nachat through phone na galfriend wangu,asa katka kuchat huko nikamuomba leo jumatatu tukutane town{nadhani wakubwa wenzangu mtakua mmenielewa},yeye akanikatalia na akanipa sababu zake ambazo kwa kiasi flani nilizielewa.sasa imefika leo mchana kwenye mida ya saa 7 mimi cna hili wala lile niko zangu kwenye mishe zangu,ikaingia txt kutoka kwa huyo gal ikiniulza kama niko town kwa muda huo,wel me nkamjbu nipo town but niko kwenye kufuatlia masuala flani hivi,na yeye akanijbu kuwa yuko town..then me nkamwambia poa ka vp tutawasliana jioni,akanijbu ndo namfanyia madharau gani hayo,eti akasema alitaka kuonana na mie leo coz kesho anasafiri,me nikamjbu ikitokea ukasafiri kweli,bac next tym tutameet ilimradi mawasliano yapo kati yetu..amelalamika mambo meng sana ambayo siwezi hata kuyaandka hapa.sasa wakuu nauliza,hapo me kosa langu ni lipi,maana ye mwenyewe alishanambia kwamba haitowezekana,leo tena kachange?
 
Huyo anataka kubembelezwa, nenda kamnunule icecream na soda hana lolote huyo.

Issue ni kwamba alikuwa anataka kukuonyesha yeye busy na hawezi kukutana nawe, ilitakiwe wewe ung'ang'anie with 'please darling' x100. Kwa vile hukufanya hivyo akaona achukue risk ya kujifanya yuko town akimaanisha anamazingira ya kukuta without problem, wewe uliharibu uliposema kuwa busy ulitakiwa uwe excited and looking forward to meet her if possible canceling all your appointments.

Hiyo ndo mentality ya college gals.
 
Huyu anapima upepo..
Ukiona mwanamke kila wakati anakimbilia neno 'hunipendi..jua huyo bado anatest zali..
Endelea kusimamia msimamo wako..
 
Kuisoma physics ya wanawake ni ngumu sana mkuu, ila mi naona huna kosa coz uliheshimu mawazo yake, na ungemlazimisha ingeonekana unamuonea(mfumo dume)
 
Huyo anataka kubembelezwa, nenda kamnunule icecream na soda hana lolote huyo.

Issue ni kwamba alikuwa anataka kukuonyesha yeye busy na hawezi kukutana nawe, ilitakiwe wewe ung'ang'anie with 'please darling' x100. Kwa vile hukufanya hivyo akaona achukue risk ya kujifanya yuko town akimaanisha anamazingira ya kukuta without problem, wewe uliharibu uliposema kuwa busy ulitakiwa uwe excited and looking forward to meet her if possible canceling all your appointments.

Hiyo ndo mentality ya college gals.

thank you for useful comment
 
Listen 2 ur heart my braza!It's ma hope u know urself well bt also her, tek comand dcsion!
 
Heshima mbele wakuu!ebana,juzi nilikua nachat through phone na galfriend wangu,asa katka kuchat huko nikamuomba leo jumatatu tukutane town{nadhani wakubwa wenzangu mtakua mmenielewa},yeye akanikatalia na akanipa sababu zake ambazo kwa kiasi flani nilizielewa.sasa imefika leo mchana kwenye mida ya saa 7 mimi cna hili wala lile niko zangu kwenye mishe zangu,ikaingia txt kutoka kwa huyo gal ikiniulza kama niko town kwa muda huo,wel me nkamjbu nipo town but niko kwenye kufuatlia masuala flani hivi,na yeye akanijbu kuwa yuko town..then me nkamwambia poa ka vp tutawasliana jioni,akanijbu ndo namfanyia madharau gani hayo,eti akasema alitaka kuonana na mie leo coz kesho anasafiri,me nikamjbu ikitokea ukasafiri kweli,bac next tym tutameet ilimradi mawasliano yapo kati yetu..amelalamika mambo meng sana ambayo siwezi hata kuyaandka hapa.sasa wakuu nauliza,hapo me kosa langu ni lipi,maana ye mwenyewe alishanambia kwamba haitowezekana,leo tena kachange?

wanawake ndivyo walivyo so bra take it ease ataisoma tu hata kimya kimya..
 
Nisikize me seneta!!! Huyu dada alijua mapema angekukubalia jana yake anajua ungejiandaa kwenda kutafuta "kifaru",ungekunywa makonyagi,ungekunywa mchuzi wa pweza +viagra ndio maana akakwambia haiwezekani ili usibwie hayo makitu maana anajua ungemtesa so kafanya suprise na wewe umechomoa kwhyo alivyowaza ndio vilevile,mwanmme kamili ikitokea zari kama hilo la kukutana na mrembo lzm uache kila kitu uende kumpa haki yake sema ndio hvyo vijana wengi lzm waboost network!!!
 
Mh! mdogo wangu wa kike si anasafiri kesho? Mkuu kwani alikuambia anaenda wapi vile?
 
mbembeleze bana,mara moja mbili kwa mwaka si mbaya mkuu....hawa viumbe ndo walivyo...
 
Huyo anataka kubembelezwa, nenda kamnunule icecream na soda hana lolote huyo.

Issue ni kwamba alikuwa anataka kukuonyesha yeye busy na hawezi kukutana nawe, ilitakiwe wewe ung'ang'anie with 'please darling' x100. Kwa vile hukufanya hivyo akaona achukue risk ya kujifanya yuko town akimaanisha anamazingira ya kukuta without problem, wewe uliharibu uliposema kuwa busy ulitakiwa uwe excited and looking forward to meet her if possible canceling all your appointments.

Hiyo ndo mentality ya college gals.

aaaaha umenikumbusha mbali sana MadameX, enzi hizoooo! kweli vijana wa siku hizi ni wa dot.come hasa, nimeamini kauli ya gfsonwin, tutakuja kuombwa kushauri jinsi ya kumfungua 'kufuli'
 
Mkatie mkwanja si kanasoma Chuo hako katoto, katatambaje huko Chuoni kwa wenzie kuwa kana Buzz ?
 
ha ha ha ha, ashaliwa na semeta, chezeiya seneta wewe.

Wala sishangai, ndio hivyo kawaida sana wanawake kukwepesa kwepesa kama hawataki taki kumbe anaihurumua kuwa inazidi soma mileage tu.

Mh! mdogo wangu wa kike si anasafiri kesho? Mkuu kwani alikuambia anaenda wapi vile?
 
Majibu yako kwa mpenzi wako ndio tatizo. Mtu kakwambia anataka kusafiri alita akuone na kwa jinsi ulivyo jibu kama ni mpenz wako si vizuri
 
Nisikize me seneta!!! Huyu dada alijua mapema angekukubalia jana yake anajua ungejiandaa kwenda kutafuta "kifaru",ungekunywa makonyagi,ungekunywa mchuzi wa pweza +viagra ndio maana akakwambia haiwezekani ili usibwie hayo makitu maana anajua ungemtesa so kafanya suprise na wewe umechomoa kwhyo alivyowaza ndio vilevile,mwanmme kamili ikitokea zari kama hilo la kukutana na mrembo lzm uache kila kitu uende kumpa haki yake sema ndio hvyo vijana wengi lzm waboost network!!!

Mtumeeeeee! You are a great thinker bro.:)
 
Inawezekana kweli alikuwa hana uhakika km angeweza kuja town na imetokea akapata hiyo nafac( hujabainisha mazingira ya gf wako je anajitegemea au yupo chini ya maamuzi ya m2 mwingine) wakati mwingine kuaga ni ishu km upo chini ya mamlaka fulani. Lakini uelewe kwamba wanawake wengi wanapenda kubembelezwa na kujaliwa hivyo km haukuwa na suala njeti sana ungejitahidi kuonana nae mambo yangekuwa poa.
Mapenzi ni km muziki wakati fulani unacheza kwa kufuata mdundo c lazima reheasal,hivyo wakati mwingine uwe unaendana na mazingira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom