kwa wale wazazi kama mimi ni hatari sana kumwacha mtoto kwenye gari mda wowote.
kwa mnaongalia Oprah show yuko mama mmoja alimsahau mwanae kwenye gari asbh kwani amezoea baba yake ndie...
Kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita...
Huu wimbo unanikumbasha kwamba mchezo huu ulinisaidia sana kujifundisha kutongoza mademu enzi zangu, sijui kama unaukumbuka? Wanawake walikuwa wanakaa upande mwingine na wanaume wanaanza kuimba na...
Habari za maandalizi ya kuhesabiwa.
Nimekuja na hili swali sababu kuna incidents zimetokea katika mazingira ninayoishi na kwa baadhi ya rafiki zangu.
Incident ya kwanza kuna binti mmoja alitokea...
Wapendwa, habari zenu.
Nawasilisha mbele yenu uzoefu wangu wa muda mrefu kuhusu jinsi baadhi ya wanaume wanavyotuchukulia sisi wanawake. Uzoefu huu umetoka kwenye uchunguzi wa tabia za wanaume...
siku moja nilikuta rafiki zangu wawili wa kike wanasimuliana, kwa kuwa wamenizoea uwa wanatia tu stori hata yaliyojiri kwenye sita kwa sita, sasa haya mazungumzo yao yakanifanya niwaze mara mbili...
habari za asubuhi wana mmu, ni mwaka umepita tangu nikutane na huyu kaka. naweza kusema ni wa kawaida sana, yan kimaisha,elimu na muonekano pia. nilikutana naye tukiwa tunasoma koz flan.alionesha...
Wana MMU,Embu Tujadiri katika mahusiano yetu ya kimapenzi na lazima mmoja atakuwa ana gain zaidi ya mwingine,au atakuwa ni mfaida mkubwa sana ....
kwa upande wangu mimi kwakweli naona dada zetu...
A man who can cry is a man who has learned some secrets about intimacy. But sadly, for many men it takes something tragic or life-changing before they understand this truth.
Here are a few ways...
Umofia kwenu JF,
Nimestuka baada ya kusikia tangazo ITV likisema kutafanyika tamasha kubwa pale mlimani city tar1 mwezi wa tisa,watakuwepo wakinama kama rwakatare,anti sadaka pia na erick...
Nimejaribu kuchunguza katiaka jamii yetu hii ya kitanzania pamoja na huku jamii forum nikagundua kuwa watu wengi walio ktk mahusiano hayadumu (maranyingi ni kuanzia siku moja hadi miaka mitano) na...
Mwanamke ndio unampenda tena sna tu then inatokea cku mmegombana tena kitu kdogo then anakwambia muachane alafu baada ya mda anakwambia naomba unisamehe turudiane bt nina mpenzi wangu mwingine pia...
Kwa mujibu ya kanuni ya mvuto, ni kwamba huwa tunavuta wenyewe kila kitu kizuri ama kibaya katika maisha yetu. Hivyo, hatuna namna ya kuukimbia ukweli huo wa kwamba sisi ndiyo tuliozisababisha...
Habari kwenu wana JF.
Nimekuwa nikijiuliza kwa mda hivi ya kwamba ndani ya GT yupo mdada aliyeokoka? kama ni kweli tafadhali fuatilia maelezo haya na kama yamekugusa usisite kufanya kile ambacho...