Wangapi Mna Ndoa Halali if You take This Pic Literary...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wangapi Mna Ndoa Halali if You take This Pic Literary...?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtoboasiri, Aug 25, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Bishanga na watu fulani (mnajijua) wala msijisumbue kujibu!
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Na kama mwanaume sio virgin nayo ni ndoa au sio ndoa?
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Binafsi sijui Mkuu, ngoja waje wajuzi watuambie!
   
 4. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  How do you realise that this man is not vigin?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,081
  Likes Received: 24,078
  Trophy Points: 280
  Mkuu unajua Bible haifanyiwi marekebisho kama katiba ya JMT. Hilo ni nukuu toka kwa baibo, sasa hili swali labda ungemuuliza Mungu. Kwa sasa tujadili hoja....wanawake mlioolewa mkiwa mshatolewa utepe. Ndoa zenu NI BATILI, asema bwana.

   
 6. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,388
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  mhn..........! mi simo!
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Humo wapi; kwenye ndoa halali au...?
   
 8. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmh kwa hiyo biblia inamkandamiza mwanamke pia,mbona haijangalia upande wa pili
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nimelipenda jibu lako; maana hata avatar yako nayo imeaangalia upande wa pili!
   
 10. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  katika verse 28 kama ukimkuta mke wako ni bikra huruhusiwi kumwacha siku zako zote
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tukianza kutoa tigo ili tuwawekee mbele mnapiga makelele.....
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mungu atuhurumie!!! Hivi, tutapataje kupona kama dunia ndiyo hii???????
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,081
  Likes Received: 24,078
  Trophy Points: 280
  Ndio Maana Mungu ni MWANAUME.
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,081
  Likes Received: 24,078
  Trophy Points: 280
  Hapo bikira inayozungumziwa ni bikira zote. Za kikojoleo, Kinyeo, Mdomo (Msinyonye makitu kabla ya ndoa), Mkono (Msishike mastorongo kabla hamjaolewa), Mapaja (Msiweke mastorongo kwenye mapaja ya wanaume kabla hamjaolewa), Manyonyo na kila kitu mnachotumia kuwafurahisha mahawara zenu kabla hamjaolewa.

  Na Hilo Ndilo Neno La Mungu.
   
 15. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  tumshukuru mungu...
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmmh, akyanani
  Hamunamo ndoa halali, labda 1/1000000000000000000000000000000000000000000
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hivi unajua kipindi hicho hata sensa ilipitishwa kwa wanamme tu??
  Wanawake hawakuwa wanahesabiwa.

   
 18. D

  Drake Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwa hoja yako chini ya sheria ya Musa ni sahihi in a maanisha kilichoandikwa, ila mwanamume akimridhia mwanamke huyo then mwanamke huyo aliyeolewa pasipo bikira hana hatia.kinacholindwa hapa si ubikira au la Bali ni dhamira za wanandoa ni safi, kwa sababu bikira haiwezi kutoka bila mwenyenayo kujua.

  Kwa maana kwamba mwali alitakiwa kumjuza mwanaume ya kuwa yeye si bikira na mambo takribani yote yanayomhzunguka yeye vivyo hivyo mwanamume alipaswa kumjuza mwali.

  Ukisoma hiyo sura vizuri,
  Kama mwanamume alifanya mapenzi ya mwili ama ameshaoa au Alibaka hivyo angekuwa ameshauawa kabla ya kumkuta Huyu mwali wa sasa.

  Kwa sasa sheria hii ni kiwakilishi (kivuli) maana kwa sababu ya kristo Sheria imebatilishwa kwa neema,maana yake mwanadamu hahukumiwi hapo hapo amepewa nafasi ya kutubu, nikweli bikira itakuwa imetoka lakini ananafasi ya kunusuru nafsi yake kwa toba na kweli.

  Nitarudi baadae na maelezo zaidi. Naruhusu maswali kwa nia ya kujenga jamii.

  Kwasababu Kama mwanamume Alibak
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  dah! Watu chimbachimba sana
   
 20. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Good Question!
   
Loading...