LOVE story..................Nani hunufaika sana na mahusiano.....(Me or Ke) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LOVE story..................Nani hunufaika sana na mahusiano.....(Me or Ke)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zubedayo_mchuzi, Aug 25, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wana MMU,Embu Tujadiri katika mahusiano yetu ya kimapenzi na lazima mmoja atakuwa ana gain zaidi ya mwingine,au atakuwa ni mfaida mkubwa sana ....

  kwa upande wangu mimi kwakweli naona dada zetu wanafurahia na kupata faida kubwa sana,faida kubwa hapa nayo iona ni zile proteins wanazopata kutoka kwetu.

  zingine wadau mtaongeza.
   
 2. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wote wote wanafaidi...
  Kwani wewe hufaidi unapoingiza hiyo kipara yako kwa ile kipochi manyoya...?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Sioni cha kujadili hapo; labda iwe chit chat!
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  sifaidi kitu hapooooo...hata kama nafaidi ni kwa uchache sanaaa....ngoja waje wata tuambia
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  tuombe iletwe huko....ndo inafaa...

  mods watuhamishie...jukwaa husika..
   
 6. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu huwezi juwa kuwa nao wanafaidi kama wewe au la!
  Maana ni vile tuna jinsia moja..so is not easy to feel on the other side.
  We semea kwa upande wako..
  Labda kikubwa unachoweza kusema nami nikakubaliana na wewe ni kuwa,wanaume huwa ndo tunatoboka mifukoni mara nyingi.
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  mi sijamsemea mtu nimejibu kama ulivyo uliza...wadada watasema wenyewe wapi firstlady,madame B shemejiiii,madame x,etc
   
 8. G

  Gwaks makono Senior Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama vipi na wewe hamia uko upate hiyo faida au kubali masaburi yafanyiwe kazi upate hiyo faida
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  HESHIMA ifate mkondo wake...
   
Loading...