Apo tu ndo naposhindwa kuwaelewaga wadada zetu jamani

BARTAZARY BAMECE

New Member
Aug 20, 2012
1
0
Mwanamke ndio unampenda tena sna tu then inatokea cku mmegombana tena kitu kdogo then anakwambia muachane alafu baada ya mda anakwambia naomba unisamehe turudiane bt nina mpenzi wangu mwingine pia nampenda bt co kama wewe navokupenda sasa nashindwaga kuelewa apa jamani,ni pepo au nn
 
hapa duniani huwa sishangai vitu kama hivyo kutokea na ukiona hivyo jua nyumba imeanza kuvuja kuna mtu ametoboa tayari. Mi simkubali mtu mwenye mtu bora niwe mwenyewe kuliko kujipa furaha ya muda mchache then huzuni ya muda mrefu
 
ah sasa wewe hapo anachosema huyo dada ni kwamba dozi uliyonipa huyu wa sasa haifikii....so kwa sababu nipo nae kwa maslahi ya kifedha nichukue uwe unanipa raha ya tendo
 
Haiwezekani, akinambia hayo nikiondoka kimya kimya anabahati sana, otherwise inabidi apate brain concussion na yeye.
 
unasubiri nini? Hupendwi hapo mkuu,wew ni mshika mapembe tu mwenzako ana kamua..tupa kule anza maisha mapya!
 
katika mapenzi sipendi kuuliza au kuulizwa au kuongelea au kufananishwa na yeyote yule....i believe i am unique and any one should take me the way i am.
 
Achana naye huyo anakuingiza katika mtandao wa mapenzi..
Hebu muulize TUKO WANGAPI? Akitafakari, atachukua maamuzi sahihi.
 
Matatizo naona kama unayo wewe, unatesa wawili kwa pamoja. Sasa yeye akilijia hili la pili itakuwaje?
 
Back
Top Bottom