inawezekana kuwa na mpenzi unayemzidi upeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

inawezekana kuwa na mpenzi unayemzidi upeo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyakwaratony, Aug 22, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  habari za asubuhi wana mmu, ni mwaka umepita tangu nikutane na huyu kaka. naweza kusema ni wa kawaida sana, yan kimaisha,elimu na muonekano pia. nilikutana naye tukiwa tunasoma koz flan.alionesha nia ya kunitaka kimapenzi ila nilimkatalia kwa sababu binafsi. baada ya kumaliza kozi hakukata tamaa, aliendelea kuwa karibu na sasa tunaelekea kuwa wapenzi. ukaribu wetu umenifanya nigundue kuwa hatuendani kwa kiasi kikubwa, hana upeo wa vitu vingi, hatuendani hata kidogo. je nawezaje kuwa nae ktk hali kama hii?
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Saa nyingine na yeye anakuona we ni Zero wake kweli binadamu tunapishana sasa we umejuaje kama umemzidi upeo.Upole/ukinya tofauti ni uzezeta.
   
 3. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hahaa! umenichekesha billie. nasema hivyo kwa maana kwamba kuna vitu ambavyo huwa anaongea ni local sana hana exposure kabisa! ama ni mshamba flani labda niseme hivyo. pia kuna baadhi ya mambo hajui yaani namuelekeza mambo mengi hadi ananikera. ukimbana na maswali kidogo anashindwa kujieleza mpaka ananibore.
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Duh! Sisi wenye upeo mdogo hatutapata wenza
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sasa hamuendani hata kidogo unataka nini kwake?


  *Samahani, ila upeo umeupimaje pimaje?
   
 6. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Upeo wanini? Interest baina ya wapenzi zina tofautiana ww interest yako inawezakua kubwa katika ki2 ambacho unakitaka na yeye anaupeo mkubwa katika kitu ambacho yupo interested nacho
   
 7. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hahahaa! utampata ambaye ana upeo kama wa kwako.
   
 8. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Ukweli kwamba umekaa naye muda wote huo unaonyesha kakupita upeo, kinyume na unavyotaka tuamini.
   
 10. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  hivi Mida Hii Upeo Ndio Nguzo Na Kipimo Cha Mpenzi?
  Huruma Kwetu Ma-0brain!
   
 11. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  haya Banah Utampata Huyo Mwenye Upeo Mwenzako...Naye Akushushe Vyeo!
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Kama unampenda vunja ukimya muambie dia plz uwe unajiUPDATE jiunge fb,na jf.
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hujapenda wewe!umeshaona si type yako unabaki kufanya nini hapo?
   
 14. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  inatakiwa mwanaume awe na upeo mkubwa kuliko mwanamke.
   
 15. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  sijamaanisha aje jf au aende fb. nina maana hana upeo wa maisha kwa ujumla. hayupo updated
   
 16. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jaman haya mambo yapo. Mimi nilmpata kijana ambae nimemzid elimu, nikafikiri kama wewe kwamba upeo wake upo chin. Lkn kwa sababu nilimpenda baadaye nilkuja gundua ni mazingira aliyopo. Kama haitosh alinificha hata umri wake (kumbe nimemzidi mwaka mmoja) lkn baada ya kuleta barua na kujtambulisha nyumban. Aliniita na kuniambia ukwel (kuhusu umri wake). Akasema aliogopa kunieleza mapema kwa kuhisi ningemkataa. Sikujisikia vizuri lkn baadaye niliamua kukubali matokeo.
   
 17. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Usihofu mkuu, mtapata wenza wenye upeo mdogo kama ninyi. Mungu kaumba kila mtu na wake!
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkishindana pitia hapa.
   
 19. f

  filonos JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  sasa kama umeisha kua nahiyo rugha uko muendako mtafika kweli ???? Tafakali kabla ya kuamua pole
   
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  dunia ina mambo kwanza umeshamchoka mapema .......sasa kama huendani nae unamtaka wa nini achana nae atampata mshamba mwenzake
   
Loading...