Faulty Assumptions Some Men Have on Women | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faulty Assumptions Some Men Have on Women

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Naisujaki Lekangai, Aug 22, 2012.

 1. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,345
  Likes Received: 1,323
  Trophy Points: 280
  Wapendwa, habari zenu.
  Nawasilisha mbele yenu uzoefu wangu wa muda mrefu kuhusu jinsi baadhi ya wanaume wanavyotuchukulia sisi wanawake. Uzoefu huu umetoka kwenye uchunguzi wa tabia za wanaume niliopata kuhusiana nao kwa njia ya urafiki au hata kwa kujuana pia kutoka kwa marafiki zangu wanawake. Hayo mawazo ya wanaume nimeyaita 'assumptions' kwa sababu yamewakaa sana vichwani mwao kiasi kwamba wameyafanya kuwa ni kanuni za kuwaelewa wanawake. Nitazitaja moja baada ya nyingine na mwisho nitatoa maelezo kuhusu kila assumption.
  assumption one: When a woman says 'no' she actually means 'yes'
  assumption two: If you tell a woman/girl you are rich, she will be more than ready to accept you as a lover.
  assumption three: Any crevice/hole on a woman's body is fit to have x.y.z squeezed through!

  Maelezo ya kila assumption
  :


  assumption one
  : Mwanaume akikuomba urafiki kisha ukamkatalia, anazidisha bidii badala ya kusitisha. Atakuandama kiasi cha kukufanya upate kizunguzungu. Nlishagombanaga na mkaka mmoja ambaye hakuelewa kabisa maneno: ' hapana sitaki'
  Akaanza visa vya kunitishia kwamba atanipiga mpaka niwe mbolea ya kuweka shambani. Mpaka leo hajanifanya kitu, na cha ajabu ni kwamba ananishikia adabu sana kila tunapokutana mitaani. Hebu wadada mwageni uzoefu wenu wa hii assumption one.

  assumption two: Hii nakumbana nayo kila mara. Mara ya kwanza ni wakati niliposafiri kutoka arusha kwenda dar kwa usafiri wa basi la dar-express. Kwenye kiti cha watu wawili nilikaa na kaka mmoja mzungumzaji na mtongozaji hodari. Hata kabla hatujafika Tengeru akaanza na assumption two kwa kuniambia. 'Naenda dar kuchukua kodi ya nyumba zangu tatu zilizopo ostabei na kushughulikia gari yangu bandarini. Kisha akamalizia, 'Naomba tukifika dar unisindikize kwenye hizo ishu' Nilimshangaa sana nikamwambia haitawezekana kwa sababu nilikuwa naenda kumhudumia mgonjwa. Alinyamaza lakini niliona hakuridhika kabisa na maneno yangu.Huwa nawaza sana kwamba pengine ingekuwa ni mwanamke mwingine ambaye si mwelewa wa gia za wanaume, angempapatikia yule kaka na mwishowe angegundua kuwa hakuna cha nyumba wala gari ila hata shuka ya kujifunika usiku hana.Rafiki yangu mmoja nliesoma naye aliingia mkenge kwenye gia hii kali ya utajiri.
  assumption three: Hii ni kali sitaizungumzia kwa undani sana ila kwa haraka nitawapa uzoefu wangu mfupi.Kwenye sherehe ya harusi moja niliyohudhuria nilikaa meza moja na wakaka wawili. Soga full na stori kemkem. Kwenye mazungumzo ghafla mmoja akanitangazia:'Mtoto mzuri kama wewe hakuna haja ya kunivulia chupi. Unakunja tu mguu wako, mimi naendelea kwenye huo mkunjo kwa raha zangu. Mwenzake akadakia na kuunga mkono. Nikawaza: Kama anaweza kumaliza haja zake kwenye mkunjo wa mguu, basi popote penye ufa na njia aweza pia kumaliza haja yake.
  Wadada na wakaka mwasemaje? Hasa wadada, haya ni ya kweli au hamjakutana nayo? Wakaka naomba msichukie na kuporomosha maneno makali.Dunia hii ina mengi!
  Asanteni

  Ni mimi,
  Miss Nai.
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Sijui hii nayo kwa upande wa wanawake tuiteje.........?


  [​IMG]
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Nauliza swali alilolowahi kuuliza Kiranga,wanaume wa wapi hao?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  ha ha ha ha!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sijaelewa au sijielewi.
   
 6. N

  Neylu JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwangu mi assumption one huwa haipo kabisaa.... Ninaposema NOOOO... Huwa namaanisha na huwa sitanii hivyo huwa simpi nafasi huyo kaka kuendelea kunibughudhi.

  Assumption ya pili, nimeshakutana nayo sana lakini mimi huwa si fall in love na utajiri wa mtu bali ni mtu mwenyewe hivyo wala sipapatiki kabisa..

  Assumption ya tatu sijakuelewa vizuri...
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  assumptions zipo za jinsia zoote

  za wadada ziko hivi....

  1.ukimchangamkia tu basi unamtaka

  2.ukijmsaidia shida.unajitangaza buzi...

  3.ukiwa busy na ishu zako,umemchunia....
   
 8. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Na wengine ukimsaidia kibinadamu 2 anaanza kutafuta njia ya kukulipa kiutu uzima, hii haijakaa vema, ndo maana wapo wanaoamua kutumia pesa kama fimbo.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sijaelewa hii yako Mtambuzi......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Preta na wewe, kusoma hujui, hata picha huoni..................?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,345
  Likes Received: 1,323
  Trophy Points: 280
  Kongosho asema: 'sijaelewa au sijielewi.'
  Pole na samahani kama hujaelewa, huenda nimekoroga maneno mengi mno hasa kwa kuchanganya kiingereza na kiswahili kwenye mada. Ulilosema ni feedback nzuri kwangu kunisaidia kujieleza vizuri zaidi hapa JF.
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,304
  Likes Received: 13,012
  Trophy Points: 280
  huyo simu yake inachunguzwa
   
 13. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,345
  Likes Received: 1,323
  Trophy Points: 280
  neylu kachangia vizuri na kumalizia kwa kusema: 'Assumption ya tatu sijakuelewa vizuri...'
  Ni kweli, assumption ya tatu huenda haikueleweka vizuri kwa sababu ina ukakasi ambao kimaadili si vizuri kuuweka wazi sana. Ila nilitarajia kwamba ingeeleweka ki-utu-uzima. Nilichotaka kusema kwenye hii assumption ni hivi:
  Baadhi ya wanaume wana uchu mkali wa ngono kiasi kwamba wako tayari kutumia tundu lolote kwenye mwili wa mwanamke kukidhi haja yao. Samahani kwa maneno hayo makali ila ndivyo ilivyo kwenye dunia hii iliyojaa vituko vyetu.
   
 14. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Simu inachunguzwa wakati jamaa jicho kakata kwenye 'booty'!
   
 15. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,345
  Likes Received: 1,323
  Trophy Points: 280
  Kaka Mtambuzi picha yako inaeleza assumption waliyonayo wanawake wengi. Assumption hiyo ni: 'Most if not all men are cheaters'. Kwa kuamini hivyo, huyo dada kwenye picha anaisasambua simu ya mpenzi wake kutafuta ushahidi wa 'unfaithfulness' Huo kaka aliyekaa anaonekana kutojiamini sana na huenda huyo mdada akagundua kitu.
   
 16. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Ni nyinyi ndiyo mmetufanya tuwe hivyo; 1. mkitongozwa kwa kuambiwa ukweli mnatoa nje, lkn mkidanganywa mnakubali. 2. Wanawake wengi wakitongozwa hawataki kukubali mapema hata kama nae alikuwa anakuzimia tangu zamani, ndiyo maana wakati mwingine hapana tunadhani ndiyo. 3. Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili, mkiubaliana aingize dudu yake puani, mapajani, mdononi au mkund*ni ni sawa tu kama itakuwa wote mnafurahia.
   
 17. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,345
  Likes Received: 1,323
  Trophy Points: 280
  Kaka Boss kapanua mjadala kwa kuweka assumptions za akina dada. Kazidadavua kama hivi:

  assumptions zipo za jinsia zoote

  za wadada ziko hivi....

  1.ukimchangamkia tu basi unamtaka

  2.ukijmsaidia shida.unajitangaza buzi...

  3.ukiwa busy na ishu zako,umemchunia

  Ni kweli kabisa kaka Boss!
   
 18. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwangu mimi na kwa njia yoyote niliyo au nitakayotumia hakuna mdada anaye au aliyechomoa. Nitaanza na wewe Nai ili uamini!!!!!. tukimalizana rudi hapa uwape majibu
   
 19. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Nimesoma kwa makini, nimeelewa!
  1. NAKUBALIANA NA SUALA HILI. Hakuna (kama wapo ni asilimia chache sana kama 3%) wanawake anayesema hapana akawa ana maanisha hivyo. Ni suala la kumjulia tu, siku ya kwanza akisema hapana mfuate, siku nyingine anza kwa kumsifu (Umeumbika, mrembo, umevaa vizuri n.k). Ikishindikana hapo siku nyingine "tangaza kuoa" huku ukimbembeleza, hapa inabidi uwe strategic vya kutosha ikiwezekana hata kulia lia. CHA MSINGI HAPA:A kupe nafasi ya kuongea naye ...... Amekwisha

  2. Kwa asilimia iliyokubwa (Over 55%) wanawake wanapenda utajiri bila kuufanyia kazi. Akikuona tu mara mbili unaendesha gari bila kujari gari hilo ni la nani - ameliwa! Msichana/ mwamamke ukimpeleka sehemu nzuri na pa gharama (Soda 1,500) - umemaliza kazi. Kwa ufupi dada zetu wanapenda maisha ya juu na wakati mwingine bila kuingia gharama.

  3. Sio kweli kwamba KILA mkunjo au tundu linalopatikana kwa mwanamke linaweza kumaliza shida (Hapana). Inawezekana nikawa sijui ILA ni kweli pasi ni kwa kwa asilimia 0.05 tu. Asilimia iliyokuwa pengine zaidi ya silimia 70 (mimi mmoja wao) wanaamini katika tundu MOJA tu lililotengwa kwa shughuli hiyo.

  Nikosoe panapostahili
   
 20. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yaani ulichosema hata sio assumtion ni reality sema nahisi ulikuwa huna uhakika na unataka ukweli,yaani ukitaka kuujua ukweli kuhusu nyie unaweza kufariki papo hapo,nyie ni stress,hamna maana,mnazingua,hamueleweki,kipaji cha tamaa kiliangukia kwenu,labda kama wewe unafanya ila hujui kama ndio hayo.
   
Loading...