Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

georgei

Senior Member
Oct 14, 2009
110
8
Kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita "bro"..............NAPATA SHIDA SANA,NITAKWEPAJE HAPO ILI NIMPATE KAMA GALFRIEND????????
 
Ana haki ya kukuita hivyo vile hajui kama unampenda upendo wa kidunia!

Usione soo, sema nae atabadili 'bro' kuwa 'honey'
 
haina haraka it will work out automatically.... ukizidisha care na mambo mengine itaanza kubadilika mpaka utapenda mwenyewe
 
haina haraka it will work out automatically.... ukizidisha care na mambo mengine itaanza kubadilika mpaka utapenda mwenyewe

kama una ka-experience kidogo,katika kipindi hiki nifanye mbwembwe gani nimkoleze????
 
hahahahaaaaaaaaa,

hii process ndefu mno, anaweza akakuta mwana si wake...

Si useme tuuu, utu uzima dawa bana..........lol
anza na my lovely sister...
halafu unakuja na my lovely friend
mwisho unakuja na my sweety
halafu unamalizia na my sexy n lovely girl...
taraatibu ataelewa
 
..Ashaweka boundary unaweza kuivuka lakini inabidi ufanye kazi ya ziada.


 
Last edited by a moderator:
Mwambie ukiongea nae unakua na amani na una wish ungekua nae karibu24/7 na popote unapokwenda yuko mawazoni mwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom