Nampenda mpenda nani? Nampenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda mpenda nani? Nampenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Simba Mkali, Aug 25, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Huu wimbo unanikumbasha kwamba mchezo huu ulinisaidia sana kujifundisha kutongoza mademu enzi zangu, sijui kama unaukumbuka? Wanawake walikuwa wanakaa upande mwingine na wanaume wanaanza kuimba na mwisho anataja jina la mwanamke. baadaye inakuwa zamu ya wanawake kutaja majina ya wanaueme akikuchagua tena wewe ujue amekukubali mnaenda kuanza maisha pembezoni kwa kupika na kula kibaba na mama. aaaaah aaaah
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Isijekuwa bado unatumia trick hii mpaka leo, kutana na wajanja wa JF watakutoa taka za masikio.
   
 4. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  teh!teh!watamtoa taka za masikio?ni zip hizo?
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mlikuwa mwabakana tuu na hivyo vimichezo
   
 6. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aaahhh......Mimi nilikuwa napendaga sana kuwa baba
   
 7. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nampenda mpenda naniiii nampenda... nampenda mpenda nanii... Madame X
   
 8. P

  Pedeshee kiraka Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Teeeh teeh! We noma baba kwahiyo ilikuwa ni kuparua kwa kwenda mbele enz hz.
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Inawezekana trick hii ilisaidia kuwajengea confidence vijana wa enzi zile kuwatokea mabinti!
   
Loading...