Naona hii week hii ni yangu!! Baada ya kupita majaribu na boyfie mambo yamenigeukia tena.
Kwanza inabidi mjue kua alikua hayupo kasafiri karibu miezi miwili na tukajeruhiwa kabla
ya kuridhisha...
Nina gf wangu,alinambia anakaribia kubleed na dalili za kubleed amezisikia yaan kama siku mbili zijazo atableed.tukaduu bila kinga,sasa ananambia ana mimba,je inawezekana kweli mimba ikawa...
Huyu mama ni mama wa watoto wa4,mwanae wa mwisho amemaliza chuo mwaka juzi na ameanzisha mradi wake wa kuku wa mayai.Mume wa mama huyu alistaafu kazi mwaka 2007.Lakini maisha yake hayajabadilika...
Are you married?
If Yes;
Welcome to the school called marriage,
A school where you will never graduate,
A school without a break or a free period,
A school where no one is allowed to drop out,
A...
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)
<USHAURI>
Wajameni...nimekua na uhusiano na huyu binti kwa muda wa miaka minne sasa...lakini wkt ndo kwanza najiandaa kumfanya jiko aka mama mwenye nyumba...anatokea kidume mwingine ndani ya mda...
Uchumba ni mtamu acha kabisa, ila kumbuka ndoa ni kitu halisi!
Kumekuwa na maswali mengi sana naulizwa na vijana wengi wa kike na wakiume ambao wanataka kujua ni yupi anaweza kuwa mchumba halisi...
Wakuu... habari zenu
kuna msichana mmoja hivi kwa nyakati tofauti alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na washikaji zangu wa karibu na aliachana nao kwa sababu ambazo hakuna msichana...
Morning every one!! I salute you all, SALUTE!!!
Ni hivi , leo nina swali kwa wanaume hasa waliooa au walio kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda mrefu, tafadhali naomba mueleze ukweli ili...
SEMEN is good for women's mental and physical health, a new study claims
.
Seminal fluid contains at least three anti-depressants as well as mood-altering chemicals which increase affection and...
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho maana nahisi mapenzi yamenifumba macho,mimi ninampenZi wangu tuko na miaka miwili sasa lakini kama miezi miwili ilopita mwenzangu kabadilika sana...
Habari wanajf
Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi...
Natafuta mwanaume,ambae ataniamini,natafuta mwanaume ambae atakuwa hana mashaka na mimi ambaye atakuwa anaamini mimi ni mwanamke mkweli kwake yeye,mawasiliano yangu haya hapa mwadisai@gmail.com...
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya...
Wadau,
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala hili. Je, ingekuwaje endapo Mwenyezi Mungu angetoa fursa ya kila mwanaume kujiumbia mwanamke ambaye hatimaye atamwoa ingekuwaje? Ungepewa wewe fursa...
Nusura niwe mtoto wa mitaani
Mazungumzo haya kati yangu na Yasinta niliyafanya Mnamo Machi 2009.
Ilikuwa ni siku ya ijumaa nikiwa katika ofisi yangu mpya iliyopo maeneno ya mjini alipita binti...
What do you love about your partner?
(1) lips.
(2) body.
(3) boobs.
(4) sex.
(5) appearance.
(6) his /her attitude.
( 7) Money.
(8) her /his character
(9) looks.
(10) the love...
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.